Usahihi wa Takwimu za Mikopo Awamu ya 4, 5 na 6

Wacha kutoa data nusunusu, kama umeamua kufanya ulinganifu tupe data za kuanzia serikali ya awamu ya kwanza mpaka hii ya sasa. Vinginevyo lengo lako liko dhahiri kwamba unataka kusafisha mtu na kuchafua mtu.
 
Uwezo wako wa kujenga hoja ni mdogo Sana,ndo maana unakimbilia matusi.
Watu werevu hutumia werevu wao kuelimisha,wenyewe akili ndogo,kichaka Chao ni matusi.

Tafuta saizi yako Mimi ni kitu kingine.
Mengi aliyofanya pamoja na kuwapoteza watu, kesi za kubambika, Kufubfa biashara za watu, kubomoa hotel na kufuta shamba la mkulima Risasi lukuki mwilini mwa shujaa.! Viroba baharini, kuhamisha easilimali kuimarisha Chato nk, nk , nk!!
 
Wacha kutoa data nusunusu, kama umeamua kufanya ulinganifu tupe data za kuanzia serikali ya awamu ya kwanza mpaka hii ya sasa. Vinginevyo lengo lako liko dhahiri kwamba unataka kusafisha mtu na kuchafua mtu.

Nimekupa link ya data zote hapo chini ukitaka kufuata nusunusu wapi?
Awamu ya nne ilitoa deni kutoka $4M mpaka $15.6M
 
Sasa kwani miradi alimalizika? au mnataka mama asiimalizie aachie alipoiacha magu? Mama kopa tulianza kukopa tanguenzi za mwalimu, tumeguswa kidogo kwenye tozo tunalia bila mikopo simtapiga mayowe! Wabongo bado sana kujitegemea tuache unafiki.
 
Tunaongelea jinsi mkopo wa nchi ulivyo na msimamo wake mpaka sasa.
 
Wewe ndo unapotosha..mbona haujaweka internal debt umechukua data za external debt pekee
 
Wanakaa vikao na kufanya home work ya masaa mengi kumchafua uncle Magu, Wanasahau hata kutengeneza sera zao! Sera waliyonayo ni kumchafua Magu, alafu wanafikiri watawavutia watu kwa huo ujinga
 
Wewe ndo unapotosha..mbona haujaweka internal debt umechukua data za external debt pekee

Internal debt nimekuwekea kwenye link nawe fanya kuchakatua tu kwenye link humo, nimekuwekea hadi link nini unashindwa kuchota tu mkuu?
 
Jabali la Africa amehiacha nchi ktk matatizo makubwa ya kiuchumi, amekopakopa ovyo na amekwangua na pesa zote za ndani na hakuna hata mladi mmoja alioumaliza. Jiwe limetuachia majanga makubwa sana. Acha mungu aitwe mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…