Usahihi wa Takwimu za Mikopo Awamu ya 4, 5 na 6

Mungu wako fundi kakusaidia nini sasa?

Mbona hayo mafuta ya kula wakati magu anatoka yalikuwa yanauzwa lita 10 elfu 30 sasa hivi ni elfu 50? Si mungu wako fundi kwanini hajapungua badala yake yamezidi kupaa?

Petroli na dizel ikuwa sh ngapi na leo ni sh ngapi? Si mungu wako fundi? Mbona basi petrol imezidi kupaa badla ya kushuka?

Vipi ulikuwa unabandikwa matozo kama ilivyo sasa? Mungu wako si fundi? Vipi sasa matozo kila kona?

Vipi una takwimu za material za ujenzi uweke hapa? Mungu wako si fundi? Vipi sasa nondo iliyokuwa inauzwa elfu 18 leo ni 28

Vipi gaidi nae alikuwa ndani? Na mungu wako si fundi? Inakuwaje sasa gaidi anakula krismass na mwaka ndani?

Huyo mungu wako ni kichaa kabisa,
 
Alikufanyia ubaya gani?
 
Hangaya kavaa viatu sio size yake by Suprise. Hana maono yoyote na hii nchi.
 
Na deni kipindi cha JPM kukua si kwa kukopa, hakutaka ujinga wa kulipa madeni wakati yuko na mambo mingi za kufanya kwa wananchi.
 
Acha kufuru. Unamjua mtu anayeitwa Julius Kambarage Nyerere? [emoji35]
Alijenga hospital ngapi na JPM akapiga ngapi? tunampenda na tunamheshimu Baba yetu, takwimu hazidanganyi, ndani ya kipindi chake JPM kajenga hospitals, zahanati na vituo vya afya zaidi ya nusu ya vilivyokuepo kabla hajaingia madarakani.
 
Mkuu kwahiyo mama Samia aachane na miradi kama SGR, na Madaraja? Magufuli aliwahi kupandisha mishahara au hata kupandisha madaraja watumishi? Alitoa ajira mpya kwa wananchi wake? Vp kuhusu kodi kwa wafanyakazi? Wawekezaji walitoa fursa za ajira kwa wananchi?? Mikopo ilifanya kazi gani ikiwa tuliambiwa tunajenga kwa fedha za ndani? Kwa mtizamo wako wewe maisha ya sasa hivi na yale ya 2020 yapi yana unafuu au hali himilivu?? Vp kuhusu kuhusu kudaiwa kodi kwa nguvu ulipenda ile staili??

Kama Rais Samia hatokopa basi ile miradi haitokamilika.
 
Umeniwahi nilitaka kuweka uzi huu. Watu wamekua wanafanya upuuzi awamu hii alafu kujifanya wanalinganisha na awamu ya tano. Kitu kimoja niko na uhakika nacho mama kwenye kusimamia bado hayuko vizuri na ndio wenzake wanapozichota, atakopa sana na tutaibiwa kweli kweli. RIP baba
 
Alichokikopa JPM ndicho watanzania iwanakitaka kwa sababu alifanyia kazi mkopo huo kwa kuusimamia kwa nidhamu na matokeo yanaonekana kwenye jicho la Mtanzania awe mtoto, mtu mzima na mzee sio ukopaji wa sasa , misaada na tozo lukuki zisizooonekana popote.

Hakuna miradi mipya yenye tija kwa sasa popote pale Tanzania na hata ukiona ipo ubora wake ni wa chini kwa kuwa majizi ndio yamepewa mamlaka ya kuamua cha kufanya kisha wanawakilisha tu mrejesho jinsi pesa zilivyotumika.

Vunjeni bungeni, iundwe tume huru na katiba ibadilishwe naamini CCM haitakuwa na lake na ndio itakuwa kaburi lao la mwisho maana hawapo pale kwa maslahi ya taifa na wananchi.
 
Interchange ni world bank na wala hakuwahi kusema hivo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matajiri hawependi kulipa Kodi halisi, unafikiri wanapenda hata kutumia EFD machine?
Mengine nikipata muda nitakujibu maana huku umeme January alishauchukua.
 
Uwezo wako wa kujenga hoja ni mdogo Sana,ndo maana unakimbilia matusi.
Watu werevu hutumia werevu wao kuelimisha,wenyewe akili ndogo,kichaka Chao ni matusi.

Tafuta saizi yako Mimi ni kitu kingine.

Alijenga hospital ngapi na JPM akapiga ngapi? tunampenda na tunamheshimu Baba yetu, takwimu hazidanganyi, ndani ya kipindi chake JPM kajenga hospitals, zahanati na vituo vya afya zaidi ya nusu ya vilivyokuepo kabla hajaingia madarakani.
Pundamilia nyie..
Sasa mnalialia tozo, hii ndio sababu yake ya kukopakopa hovyo...
Mlikuwa mnaona viini macho wakati anasema ni hela za ndani..
Sasa mlipe tozo alizowaletea huyu fwamba marehemu ili mumpende zaidi....
Lipa Tozo kama wewe ni Mzalendo..🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…