Usahili: Tutorial Assistant, Kuna baadhi ya mambo kuhusu written interview ningependa kufahamishwa

Usahili: Tutorial Assistant, Kuna baadhi ya mambo kuhusu written interview ningependa kufahamishwa

Jorge WIP

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2018
Posts
3,567
Reaction score
5,323
Habari za wakati huu my virtual family JF

Nikienda moja kwa moja kwenye mada nina interview hivi karibuni ya TA(Tutorial Assistant) katika institute X kwahiyo naomba kufahamishwa kuwa hizi interview zinakuwa vipi. Accounting & Finance

Hasa nazungumzia written tunayoanza nayo na oral pia itakayofuata, tafadhali naomba nipate abc maana sina experience na hili jambo na pia sitaki kwenda nikiwa blind...nahitaji angalau nipate kufahamu cha kutegemea kukutana nacho

Naomba nipate insights kwa wataalamu kuhusu aina za maswali if possible and hata Do’s & Dont’s, plus ushauri wako uzingatie kuwa nna siku 3 tu za maandalizi

Natanguliza shukrani.
 
Kama ulikaa darasani hofu yako ni nini? Kwenye interview kikubwa ni lazima uifuatilie taasisi unayokwenda kufanya interview uijuwe na uwe na vision utaifanyia nini au una lipi jipya.
Ahsante kwa ushauri mkuu japo hofu ndio sehemu yetu wanadamu bila ya hivyo nahis tungekuwa pabaya sana
 
Back
Top Bottom