Program Manager
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 2,763
- 3,955
Haya mashirika haya bwana ni wazinguzi Sana Kuna wengine wanaitwa MDH wanazingua balaaKwa kifupi sana ni kwamba hili shirika halijalipa allowance na nauli za community & facility testers pamoja na CBHS wao kwa kazi ya wiki ya mwisho wa mwezi wa 9.
Tatizo liko wapi?
Ni sawa project zimeisha je mtalipa madai hayo ya vijana ambao walijitoa kufanya kazi nanyi kama volunteers?
🤣 🤣Mkuu wewe angalia simu yako tu utaona muamala unasoma.
Mashirika ya kibepari haya shida tupuHaya mashirika haya bwana ni wazinguzi Sana Kuna wengine wanaitwa MDH wanazingua balaa
Ameleft group 😃😃cheki na meneja wa mradi.
haha meneja amezingua sanaAmeleft group 😃😃
Sana mkuuhaha meneja amezingua sana
Ahsante mkuu system yao ya malipo hairuhusu kujitegemeaDah poleni sana wakuu....mbwembwe zote zile kumbe mshahara wenyewe mnalipwa kwa mafungu.
Ila mkuu hiyo michongo huwa mnapeana wenyewe halafu ikibuma ndio mnaleta hukuAhsante mkuu system yao ya malipo hairuhusu kujitegemea
USAID sio shirika....taja shirika lililokua linaimplement hiyo program....Kwa kifupi sana ni kwamba hili shirika halijalipa allowance na nauli za community & facility testers pamoja na CBHS wao kwa kazi ya wiki ya mwisho wa mwezi wa 9.
Tatizo liko wapi?
Ni sawa project zimeisha je mtalipa madai hayo ya vijana ambao walijitoa kufanya kazi nanyi kama volunteers?
OkKwa kifupi sana ni kwamba hili shirika halijalipa allowance na nauli za community & facility testers pamoja na CBHS wao kwa kazi ya wiki ya mwisho wa mwezi wa 9.
Tatizo liko wapi?
Ni sawa project zimeisha je mtalipa madai hayo ya vijana ambao walijitoa kufanya kazi nanyi kama volunteers?
Hapana mkuu niliwahi kuleta uzi humu mwaka jana na ikitokea tena January nitawasanuaIla mkuu hiyo michongo huwa mnapeana wenyewe halafu ikibuma ndio mnaleta huku
USAID Boresha Afya mkuu ndo shirika ninalolijua mimiUSAID sio shirika....taja shirika lililokua linaimplement hiyo program....
Hao wote ni shida tupu maana wako chini ya mwamvuli mmojaMkuu siyo USAID tu mashirika mengi sasa ivi ni majanga sana wakati watu wengi walipenda sana kufanya kazi na mashirika ila sasa ivi kila sehemu shida tu siyo USAID, MDH Agphah, wala Amref wote shidaa sasa ivi
Namimi nilikuwa nawaza hivi mkuu.USAID sio shirika....taja shirika lililokua linaimplement hiyo program....
Sio sahihi kuiweka USAID na hayo mashirika uliyoyataja.Mkuu siyo USAID tu mashirika mengi sasa ivi ni majanga sana wakati watu wengi walipenda sana kufanya kazi na mashirika ila sasa ivi kila sehemu shida tu siyo USAID, MDH Agphah, wala Amref wote shidaa sasa ivi