USAID Boresha Afya Southern Zone, mtalipa lini madai ya community testers?

Status
Not open for further replies.

Program Manager

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2018
Posts
2,763
Reaction score
3,955
Kwa kifupi sana ni kwamba shirika linalohusika na program ya Boresha Afya Southern Zone halijalipa allowance na nauli za community & facility testers pamoja na CBHS wao kwa kazi ya wiki ya mwisho wa mwezi wa 9.

Tatizo liko wapi?

Ni sawa project zimeisha je mtalipa madai hayo ya vijana ambao walijitoa kufanya kazi nanyi kama volunteers?
 
Kwa kifupi sana ni kwamba hili shirika halijalipa allowance na nauli za community & facility testers pamoja na CBHS wao kwa kazi ya wiki ya mwisho wa mwezi wa 9.

Haya mashirika haya bwana ni wazinguzi Sana Kuna wengine wanaitwa MDH wanazingua balaa
 
Kwa kifupi sana ni kwamba hili shirika halijalipa allowance na nauli za community & facility testers pamoja na CBHS wao kwa kazi ya wiki ya mwisho wa mwezi wa 9.

Tatizo liko wapi?

Ni sawa project zimeisha je mtalipa madai hayo ya vijana ambao walijitoa kufanya kazi nanyi kama volunteers?
USAID sio shirika....taja shirika lililokua linaimplement hiyo program....
 
Kwa kifupi sana ni kwamba hili shirika halijalipa allowance na nauli za community & facility testers pamoja na CBHS wao kwa kazi ya wiki ya mwisho wa mwezi wa 9.

Tatizo liko wapi?

Ni sawa project zimeisha je mtalipa madai hayo ya vijana ambao walijitoa kufanya kazi nanyi kama volunteers?
Ok
 
Mkuu siyo USAID tu mashirika mengi sasa ivi ni majanga sana wakati watu wengi walipenda sana kufanya kazi na mashirika ila sasa ivi kila sehemu shida tu siyo USAID, MDH Agphah, wala Amref wote shidaa sasa ivi
 
Hao wote ni shida tupu maana wako chini ya mwamvuli mmoja
 
Mkuu siyo USAID tu mashirika mengi sasa ivi ni majanga sana wakati watu wengi walipenda sana kufanya kazi na mashirika ila sasa ivi kila sehemu shida tu siyo USAID, MDH Agphah, wala Amref wote shidaa sasa ivi
Sio sahihi kuiweka USAID na hayo mashirika uliyoyataja.
USAID is something big.
Ndio mfadhili wa hayo uliyotaja kulingana project husika.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom