Ninashangaa sana usa kujiondoa kwenye WHo na usaid maana haya masharika ndo yatengeneza usa global influence sass ni wakijiondo ni kama kujikata mikoni wenyeweHili ni kinyume cha sheria. Si Donald Trump wala Elon Musk anayo mamlaka ya kufuta USAID; ni Bunge (Congress) pekee linaloweza kufanya hivyo kwa kupitisha sheria.
Kesi za kisheria zinaendelea, ili kujaribu kuzuia hili.
JFK alitoa amri ya kiutendaji kuunda USAID, kisha baadaye Bunge lilipitisha sheria iliyoifanya USAID kuwa taasisi huru. Hivyo, kufuta USAID kungehitaji sheria ya Bunge (si amri ya kiutendaji).
Watu wengine hilo Bunge linadhibitiwa na Republican, sioni ugumuHili ni kinyume cha sheria. Si Donald Trump wala Elon Musk anayo mamlaka ya kufuta USAID; ni Bunge (Congress) pekee linaloweza kufanya hivyo kwa kupitisha sheria.
Kesi za kisheria zinaendelea, ili kujaribu kuzuia hili.
JFK alitoa amri ya kiutendaji kuunda USAID, kisha baadaye Bunge lilipitisha sheria iliyoifanya USAID kuwa taasisi huru. Hivyo, kufuta USAID kungehitaji sheria ya Bunge (si amri ya kiutendaji).
Hiyo pesa ya bilion $20 ilikuwa msaada au mkopo?Mwaka juzi tu Urusi ametoka kusamehe deni la zaidi ya $bilion 20 kwa nchi za Afrika ,sasa sijui hizo hela zote walikopa kwa ajili ya Ak47?
Hata hivyo Urusi awasaidie kwani nyinyi hamna mikono ya kufanya kazi kujenga nchi zenu?
Yaani Urusi iwakamue kodi raia wake kwa ajili ya kuwahudumia nyinyi ,hali yakuwa nyinyi kodi zenu mnanunulia,magoli, ma v8 ya mabilion kila mwaka na kuiba kupeleka Uswizi?
Huo upumbavu Urusi hawezi ufanya maana alisha ufanya huko nyuma uka mgharimu na kusababisha soviet kuanguka.
China hawana hela za kuchezea kama za Marekani. China awape hela tu mle na mnunue v8 bure bure tu bila sababu, hakuna kitu kama hicho.Ikiwa Marekani itajiondoa katika kusaidia mataifa ya Afrika, kuna uwezekano mkubwa kwamba mataifa kama China na Urusi yataongeza ushawishi wao barani humo. Hii inaweza kubadili uwiano wa kisiasa na kiuchumi, huku mataifa ya Afrika yakigeukia nchi hizo kwa msaada wa maendeleo.
Kwa sasa, hatima ya USAID haijulikani. Wafuasi wa shirika hilo wanatoa wito kwa bunge la Marekani kuingilia kati ili kulinda programu zake, wakisisitiza kuwa misaada ya kimataifa ni muhimu si tu kwa masuala ya kibinadamu bali pia kwa maslahi ya kimkakati ya Marekani duniani
Umesikia taarifa ya habari ya leo? Trump kaweka kodi kubwa kwa bidhaa za china kuingia Marekani. Mchina naye kaweka kodi kubwa kwa bidhaa za Marekani kuingia China.Kiukweli hapa elon na trump wameyatimba.
Wanaenda kuacha mwanya mpana sana ambao China au Urusi wakiutumia watakua na influence kubwa sana na kucontrol resources za Africa
Kumbuka ndugu zao tuliwazuia kuchoma mahindi na kufanya biashara hapa bongo😀😀😀China hawana hela za kuchezea kama za Marekani. China awape hela tu mle na mnunue v8 bure bure tu bila sababu, hakuna kitu kama hicho.
Utelezi wa USAID ukikata lazima tunyooke.
TOKEA NIMEZALIWA NAKUA SIJAWAI ONA INSHU YOYOTE WATU WA MAREKANI HAWAPO 😂😂😂Umesikia taarifa ya habari ya leo? Trump kaweka kodi kubwa kwa bidhaa za china kuingia Marekani. Mchina naye kaweka kodi kubwa kwa bidhaa za Marekani kuingia China.
Cha ajabu sasa, Mchina kaenda kushitataki huko ngazi juu kwamba siyo sahihi😀😀😀
Trump ni mjinga sana.Ikiwa Marekani itajiondoa katika kusaidia mataifa ya Afrika, kuna uwezekano mkubwa kwamba mataifa kama China na Urusi yataongeza ushawishi wao barani humo. Hii inaweza kubadili uwiano wa kisiasa na kiuchumi, huku mataifa ya Afrika yakigeukia nchi hizo kwa msaada wa maendeleo.
Kwa sasa, hatima ya USAID haijulikani. Wafuasi wa shirika hilo wanatoa wito kwa bunge la Marekani kuingilia kati ili kulinda programu zake, wakisisitiza kuwa misaada ya kimataifa ni muhimu si tu kwa masuala ya kibinadamu bali pia kwa maslahi ya kimkakati ya Marekani duniani
KWAIYO RUSSIA ATALETA KIMTEREMKO 😂 SAHAU NAO POSHO ZA VIKAO ZINAYEYA SOONKiukweli hapa elon na trump wameyatimba.
Wanaenda kuacha mwanya mpana sana ambao China au Urusi wakiutumia watakua na influence kubwa sana na kucontrol resources za Africa
Wachina bongo alikua wanauza hadi karanga kama waha, wanasukuma mikokoteni, wanapaka rangi kucha wadada barabarani, wanaunganisha mabando ya chuo, wanashona viatu, mambo ya ajabu kabisa.Kumbuka ndugu zao tuliwazuia kuchoma mahindi na kufanya biashara hapa bongo😀😀😀
Hapa tumejua kwanini thread zimeongezeka za kupinga uamuzi wa mwamba Elon Musk
Pale Iringa kuna chuo cha ualimu cha Kleruu. Niliwahi kuambiwa kuwa baadhi ya majengo yalijengwa kwa msaada wa Russia kwa njia ya off-site.Russia iliwahi kumsaidia nani wakati hapa suala sio kutoa msaada wa AK 47 bali ni msaada wa kimaendeleo.
China naye hana cha msaada bali yeye ni kutoa mikopo umiza na ndio maana mataifa kama Kenya, Zambia, Sri Lanka ni vilio tu.
Ok fine.Trump ni mjinga sana.
Anaiua marekani kwa makusudi au bila kujuwa.
Kuifuta inahitaji super majority (67 senators), hawana hizo votes, wanachoweza kufanya ni kuinyima funds kuifanya iwe useless, au kwa ubaguzi wao wanaweza allocates pesa zote Ukraine kusaidia wazungu wenzao, Watu waelewe Trump hapendi anything not whiteLakini Republicans wako wengi kwenye Congress na Sanete, wakienda huko pia watashinda na USAID itafutwa.
Shangaa nchi yako ya Tanzania.Ninashangaa sana usa kujiondoa kwenye WHo na usaid maana haya masharika ndo yatengeneza usa global influence sass ni wakijiondo ni kama kujikata mikoni wenyewe