USAID haiwezi kufutwa kwa Executive Orders; watetezi kwenda Mahakamani kuzuia uamuzi wa Donald Trump

USAID haiwezi kufutwa kwa Executive Orders; watetezi kwenda Mahakamani kuzuia uamuzi wa Donald Trump

Hili ni kinyume cha sheria. Si Donald Trump wala Elon Musk anayo mamlaka ya kufuta USAID; ni Bunge (Congress) pekee linaloweza kufanya hivyo kwa kupitisha sheria.

Kesi za kisheria zinaendelea, ili kujaribu kuzuia hili.

JFK alitoa amri ya kiutendaji kuunda USAID, kisha baadaye Bunge lilipitisha sheria iliyoifanya USAID kuwa taasisi huru. Hivyo, kufuta USAID kungehitaji sheria ya Bunge (si amri ya kiutendaji).
Ninashangaa sana usa kujiondoa kwenye WHo na usaid maana haya masharika ndo yatengeneza usa global influence sass ni wakijiondo ni kama kujikata mikoni wenyewe
 
Watu wengine hilo Bunge linadhibitiwa na Republican, sioni ugumu
 
Mwaka juzi tu Urusi ametoka kusamehe deni la zaidi ya $bilion 20 kwa nchi za Afrika ,sasa sijui hizo hela zote walikopa kwa ajili ya Ak47?
Hata hivyo Urusi awasaidie kwani nyinyi hamna mikono ya kufanya kazi kujenga nchi zenu?
Yaani Urusi iwakamue kodi raia wake kwa ajili ya kuwahudumia nyinyi ,hali yakuwa nyinyi kodi zenu mnanunulia,magoli, ma v8 ya mabilion kila mwaka na kuiba kupeleka Uswizi?
Huo upumbavu Urusi hawezi ufanya maana alisha ufanya huko nyuma uka mgharimu na kusababisha soviet kuanguka.
Hiyo pesa ya bilion $20 ilikuwa msaada au mkopo?
Msaada ilikuwa kwenye afya, elimu nn? Pesa za Marekani hutangazwa kabisa ila sijawahi ona msaada wa China wala Russia.
Mkopo wa nini?
Acha kupiga watu changa la macho
Watu wanakopeshwa silaha na mrussia
 
Ikiwa Marekani itajiondoa katika kusaidia mataifa ya Afrika, kuna uwezekano mkubwa kwamba mataifa kama China na Urusi yataongeza ushawishi wao barani humo. Hii inaweza kubadili uwiano wa kisiasa na kiuchumi, huku mataifa ya Afrika yakigeukia nchi hizo kwa msaada wa maendeleo.

Kwa sasa, hatima ya USAID haijulikani. Wafuasi wa shirika hilo wanatoa wito kwa bunge la Marekani kuingilia kati ili kulinda programu zake, wakisisitiza kuwa misaada ya kimataifa ni muhimu si tu kwa masuala ya kibinadamu bali pia kwa maslahi ya kimkakati ya Marekani duniani
China hawana hela za kuchezea kama za Marekani. China awape hela tu mle na mnunue v8 bure bure tu bila sababu, hakuna kitu kama hicho.

Utelezi wa USAID ukikata lazima tunyooke.
 
Kiukweli hapa elon na trump wameyatimba.
Wanaenda kuacha mwanya mpana sana ambao China au Urusi wakiutumia watakua na influence kubwa sana na kucontrol resources za Africa
Umesikia taarifa ya habari ya leo? Trump kaweka kodi kubwa kwa bidhaa za china kuingia Marekani. Mchina naye kaweka kodi kubwa kwa bidhaa za Marekani kuingia China.
Cha ajabu sasa, Mchina kaenda kushitataki huko ngazi juu kwamba siyo sahihi😀😀😀
 
😂😂😂 KUNA KIPINDI CHA MSHUA MATANGAZO YA WATU WA MAREKANI YALIPOTEA YA KARUDI MSHUA ALIPONDOKA SASA YANAONDOKA TENA WANATUCHANGANYA WAZEE WANYAMA MNOFU 🏌️
 
Umesikia taarifa ya habari ya leo? Trump kaweka kodi kubwa kwa bidhaa za china kuingia Marekani. Mchina naye kaweka kodi kubwa kwa bidhaa za Marekani kuingia China.
Cha ajabu sasa, Mchina kaenda kushitataki huko ngazi juu kwamba siyo sahihi😀😀😀
TOKEA NIMEZALIWA NAKUA SIJAWAI ONA INSHU YOYOTE WATU WA MAREKANI HAWAPO 😂😂😂
 
20250203_215056.jpg
 
USAID Wana support ushoga duniani ni chombo kinacho Tumika kufund NGOs mbali mbali zinazo husika na mambo ya ushoga transgender bisexuals etc LGBTQ , moja ya Sera za trump ni kuhakikisha Ushoga unatoweka hivyo basi anajua wazi kwamba ili aweze kushinda Hiyo vita ni lazima ahakikishe kwamba USAIDs inatoweka
 
Ikiwa Marekani itajiondoa katika kusaidia mataifa ya Afrika, kuna uwezekano mkubwa kwamba mataifa kama China na Urusi yataongeza ushawishi wao barani humo. Hii inaweza kubadili uwiano wa kisiasa na kiuchumi, huku mataifa ya Afrika yakigeukia nchi hizo kwa msaada wa maendeleo.

Kwa sasa, hatima ya USAID haijulikani. Wafuasi wa shirika hilo wanatoa wito kwa bunge la Marekani kuingilia kati ili kulinda programu zake, wakisisitiza kuwa misaada ya kimataifa ni muhimu si tu kwa masuala ya kibinadamu bali pia kwa maslahi ya kimkakati ya Marekani duniani
Trump ni mjinga sana.

Anaiua marekani kwa makusudi au bila kujuwa.
 
Kiukweli hapa elon na trump wameyatimba.
Wanaenda kuacha mwanya mpana sana ambao China au Urusi wakiutumia watakua na influence kubwa sana na kucontrol resources za Africa
KWAIYO RUSSIA ATALETA KIMTEREMKO 😂 SAHAU NAO POSHO ZA VIKAO ZINAYEYA SOON
 
Kumbuka ndugu zao tuliwazuia kuchoma mahindi na kufanya biashara hapa bongo😀😀😀
Wachina bongo alikua wanauza hadi karanga kama waha, wanasukuma mikokoteni, wanapaka rangi kucha wadada barabarani, wanaunganisha mabando ya chuo, wanashona viatu, mambo ya ajabu kabisa.

Halafu mtake nchi yao iwape hela za kuchezea tu? Haiwezekani.
 
Pa
Russia iliwahi kumsaidia nani wakati hapa suala sio kutoa msaada wa AK 47 bali ni msaada wa kimaendeleo.

China naye hana cha msaada bali yeye ni kutoa mikopo umiza na ndio maana mataifa kama Kenya, Zambia, Sri Lanka ni vilio tu.
Pale Iringa kuna chuo cha ualimu cha Kleruu. Niliwahi kuambiwa kuwa baadhi ya majengo yalijengwa kwa msaada wa Russia kwa njia ya off-site.
 
Lakini Republicans wako wengi kwenye Congress na Sanete, wakienda huko pia watashinda na USAID itafutwa.
Kuifuta inahitaji super majority (67 senators), hawana hizo votes, wanachoweza kufanya ni kuinyima funds kuifanya iwe useless, au kwa ubaguzi wao wanaweza allocates pesa zote Ukraine kusaidia wazungu wenzao, Watu waelewe Trump hapendi anything not white
 
Ninashangaa sana usa kujiondoa kwenye WHo na usaid maana haya masharika ndo yatengeneza usa global influence sass ni wakijiondo ni kama kujikata mikoni wenyewe
Shangaa nchi yako ya Tanzania.

Acha kushangaa nchi za watu.

Wewe umekaa huko kijijini kwenu Samvula chole unajifanya kushangaa nchi za watu kuliko wenye nchi wenyewe.

Shangaa nchi yako.
 
Back
Top Bottom