USAID hatimae imekufa rasmi kwa taarifa hii

Naomba kuuliza kwa izo Dawa za ARV na TB zinatengenezwa USA tu.
Kwamba hamna viwanda sehemu nyingine watu wanunue?
Nchi nyingi zinatengeneza. Hata TZ pale Keko walishawqhi kutengeneza. However, shida sio kutengeneza, Shida ni FUND!

Utatengeneza na mchanga na maji ndugu yangu? System za kutengeneza ARVs ni very sophisticated na kiwanda must meet standard and GMP qualification from WHO and other international standards then Raw material utanunua na nini ? Nazo ni expensive sana zinatoka huko huko majuu…,,

At average, dawa za ARVs kwa mwezi not less than 65 USD LIKE 140K , regimen ikichange cost inaongezeka

It is a good lesson for black skin , badala vijana muangalie life in a big picture , kazi n kupiga uchawa na anatekeleza ilani mama anaupiga mwingi.

Tutaongea language moja

Ni suala la muda

Lay off zitaingia hadi gvt
 
Toa Data ya claim yako

Lengo la dunia ni nchi ziwe interdependency

Nyie mmekuwa dependent san . Hili ni tatizo Halaf why mnaona ni lazima kusaidiwa

Hakuna cha mission

JITEGEMEENI FULL STOP
 
Sahizi wako busy na uchawa, effect ikianza ku take place, ni suala la muda tu reality itaanz akuonekana. Kwanza wimbi la unemployed litakuwa kubwa sana, maambukizi kupanda juu just like nigeria
Hapa sidhan kama gov imejipanga
 
Na soft power ya USA itakufa pia
 
Hili shirika limewatajirisha wengi sana kwa njia ya ufisadi kwanzia huko marekani penyewe... kuna mmarekani ameajiriwa kwenye hili shirika mwaka 2021 akiwa na ukwasi wa $6m-13m hapo ila ndani ya miaka 3 ukwasi wake umekuwa mpaka umefikia $30m na hakuna kazi nyingine anayoifanya sasa hivi raia wamemkalia kooni
 
This is deep. No way, They must be fired.
 
Akili yako inakutuma kuwa kila mtu anaishi kwa kutegemea cheti? Watu kama nyie ndiyo Jiwe aliwatumia kama mtaji wake. Mliitwa wanyonge mkawa mnafurahi na kubinuka, haya sasa huo unyonge wenu aliumaliza au mpaka sasa bado ni wanyonge? 😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…