USAID hatimae imekufa rasmi kwa taarifa hii

inabidi mama yetu aende marekani kumbembeleza trump asilifute hili shirika letu.
Mama yako yupo bush huko anaparangana na makuni apike chai na mihogo ya kuchemsha apate kifungua kinywa labda km wewe ni Wanu au Abdul nitakuelewa kinyume na hapo pambana na familia yako na ombea usiugue ukimwi awamu hii ya Trump tunakuzika chapu
 
WACHA MVUA INYESHE TUONE PANAPOVUJAπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kuna uwezekano Walikua wapigaji wanaoshirikiana na inakopelekwa "misaada".

Siamini kama kuna msaada wa bure bure kutoka kwa wamagharibi, tunakaangwa kwa mafuta yetu.

Uomba omba umetuponza sana.
 
Mama yako yupo bush huko anaparangana na makuni apike chai na mihogo ya kuchemsha apate kifungua kinywa labda km wewe ni Wanu au Abdul nitakuelewa kinyume na hapo pambana na familia yako na ombea usiugue ukimwi awamu hii ya Trump tunakuzika chapu
Mimi napambana nichukue Nchi ili niwakomboe ninyi zero minus 10=-10.
 
Trump kawanyoosha Waafrika wanaochukua pesa za Wamarekani wanapewa misaada kisha hawasemi km hizo pesa wamepewa na Wamarekani vyote wanajisifu wamefanya kwa pesa zao za kodi au za kukopa sasa ngoja tuone hilo gap litafukiwajwe
 
Mimi napambana nichukue Nchi ili niwakomboe ninyi zero minus 10=-10.
Unapambana kwa ajili ya Nchi au kwa ajili ya Ukoo wako? Nitolee pumba zako unaacha kumsifia mama yako aliekuzaa unakaa kuwasifia mama wa wengine wewe hata kwenye minus 10 haupo ni huna akili lini ulikaa ukamsifia mama yako alieenda kulia kule leba ili utoke tumboni kwake?
 
Kweli wewe ni zero minus 10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…