USAID kuipa Tanzania msaada wa Dola za Marekani Milioni 25

USAID kuipa Tanzania msaada wa Dola za Marekani Milioni 25

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Rais Samia amethibitisha kuwa Tanzania itapata msaada wa dola za marekani milioni 25 kutoka Shirika la Misaada la Marekani.

Hiyo ni baada ya Rais Samia kufanya mazungumzo ya mtandao na Mkuu wa shirika hilo Bi. Samantha Power.

Je huku ndio kuupiga mwingi?
915A3F1C-07BF-44C3-87A2-C6B60EDBEC5B.jpeg
 
Rais Samia amethibitisha kuwa Tanzania itapata msaada wa dola za marekani milioni 25 kutoka Shirika la Misaada la Marekani.

Hiyo ni baada ya Rais Samia kufanya mazungumzo ya mtandao na Mkuu wa shirika hilo Bi. Samantha Power.

Je huku ndio kuupiga mwingi?
View attachment 2137674
Rais aanze kuomba na fursa za kuondoa vikwazo vya biashara sio vipesa tuu.

Hiyo bil.60 sio sustainable.
 
sio mkopo ni msaada huo USA kupitia USAID huisaidia sana Tanzania miradi mingi tu ikiwemo ya afya, maji elimu n.k.
Kama Ni mdau wetu wa maendeleo bas na ss tuwasapoti katk mambo ya ya kisaisa hasa hili la kuzusa kupiga kura Ni unafiki sna kwani puttin anatusaidia nn Ana taasis gani kubwa yenye kuleta misaada hapa nnchini
 
mkuu kula huku na huku ndo mtindo wa kisasa mchana Tz inakula kwa kubwa jinga russia usiku inakula kwa superpower USA na wenzake jion inakula kwa china na india ndo maisha ya kuombaomba yalivyo.
 
Rais Samia amethibitisha kuwa Tanzania itapata msaada wa dola za marekani milioni 25 kutoka Shirika la Misaada la Marekani.

Hiyo ni baada ya Rais Samia kufanya mazungumzo ya mtandao na Mkuu wa shirika hilo Bi. Samantha Power.

Je huku ndio kuupiga mwingi?
View attachment 2137674
Zote hizo ni rushwa hela za kuliwa na vigogo pia utando wa spider 'spider web' kuinasa nchi zaidi kisaikolojia kwenye utegemezi.
Ndio hiyo tunasema 'ombaomba' ..Rais yuko kwenye simu kuombaomba badala ya kudhibiti wawekezaji na wafanyabiashara wakubwa kulipa kodi. Sijui tufanyaje kuchange mindset ya mama.
Mungu tuhurumie tufike 2025 salama kupata magufuli mpya.
 
Baniani mbaya lakini kiatu chake kizuri. Hela za mabeberu tamu.
 
Baniani mbaya lakini kiatu chake kizuri. Hela za mabeberu tamu.
Shida watanzania ni wabinafsi Sana. Kuna askari mmoja nimekutana naye kitaa anasema Bora jpm alivyokuwepo Mana alipiga pini ajira zote tunakuwa sisi ndo tunatamba uraiani sijui huyu Mana analeta wawekezaji wa nini wakati anajua watu watapata ajira na sisi hatutaki ili tupate heshima hapa mjini. Akaongeza kwamba sijua anachukuq mikopo ya nini na aongeze miradi ya nini wakati wakati mi tayri navuta mpunga kila mwezi. Waache wasio na ajira wapambane na Hari zao.
 
Ongeza tena mama, kila pahala zilipo pesa piga hodi,

Hatujui hivi vita itakuweje badaye
 
Hii tanzania ya kuomba omba ndo ingekuwa Ukraine ikanyoshwa na anko putin mpaka huu upuuzi wa kulialia na kukopa hovyo ukome.

Poor Tanzania [emoji1241]
Mkuu, umasikini ndio ulivyo.
 
Back
Top Bottom