Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Watakupa kuwa mtulivuAise hapo wangenipa mimi $mln 1 tu basi
Ova
MkopoRais Samia amethibitisha kuwa Tanzania itapata msaada wa dola za marekani milioni 25 kutoka Shirika la Misaada la Marekani.
Hiyo ni baada ya Rais Samia kufanya mazungumzo ya mtandao na Mkuu wa shirika hilo Bi. Samantha Power.
Je huku ndio kuupiga mwingi?
View attachment 2137674
Mkuu masharti yao utayaweza?Aise hapo wangenipa mimi $mln 1 tu basi
Ova
Rais aanze kuomba na fursa za kuondoa vikwazo vya biashara sio vipesa tuu.Rais Samia amethibitisha kuwa Tanzania itapata msaada wa dola za marekani milioni 25 kutoka Shirika la Misaada la Marekani.
Hiyo ni baada ya Rais Samia kufanya mazungumzo ya mtandao na Mkuu wa shirika hilo Bi. Samantha Power.
Je huku ndio kuupiga mwingi?
View attachment 2137674
sio mkopo ni msaada huo USA kupitia USAID huisaidia sana Tanzania miradi mingi tu ikiwemo ya afya, maji elimu n.k.Mkopo
Kama Ni mdau wetu wa maendeleo bas na ss tuwasapoti katk mambo ya ya kisaisa hasa hili la kuzusa kupiga kura Ni unafiki sna kwani puttin anatusaidia nn Ana taasis gani kubwa yenye kuleta misaada hapa nnchinisio mkopo ni msaada huo USA kupitia USAID huisaidia sana Tanzania miradi mingi tu ikiwemo ya afya, maji elimu n.k.
mkuu kula huku na huku ndo mtindo wa kisasa mchana Tz inakula kwa kubwa jinga russia usiku inakula kwa superpower USA na wenzake jion inakula kwa china na india ndo maisha ya kuombaomba yalivyo.Kama Ni mdau wetu wa maendeleo bas na ss tuwasapoti katk mambo ya ya kisaisa hasa hili la kuzusa kupiga kura Ni unafiki sna kwani puttin anatusaidia nn Ana taasis gani kubwa yenye kuleta misaada hapa nnchini
Zote hizo ni rushwa hela za kuliwa na vigogo pia utando wa spider 'spider web' kuinasa nchi zaidi kisaikolojia kwenye utegemezi.Rais Samia amethibitisha kuwa Tanzania itapata msaada wa dola za marekani milioni 25 kutoka Shirika la Misaada la Marekani.
Hiyo ni baada ya Rais Samia kufanya mazungumzo ya mtandao na Mkuu wa shirika hilo Bi. Samantha Power.
Je huku ndio kuupiga mwingi?
View attachment 2137674
Acha ubinafsi Kama we una ajira siyo wote Wana ajira.Hiyo hela ni ya nini?
Shida watanzania ni wabinafsi Sana. Kuna askari mmoja nimekutana naye kitaa anasema Bora jpm alivyokuwepo Mana alipiga pini ajira zote tunakuwa sisi ndo tunatamba uraiani sijui huyu Mana analeta wawekezaji wa nini wakati anajua watu watapata ajira na sisi hatutaki ili tupate heshima hapa mjini. Akaongeza kwamba sijua anachukuq mikopo ya nini na aongeze miradi ya nini wakati wakati mi tayri navuta mpunga kila mwezi. Waache wasio na ajira wapambane na Hari zao.Baniani mbaya lakini kiatu chake kizuri. Hela za mabeberu tamu.
Mkuu, umasikini ndio ulivyo.Hii tanzania ya kuomba omba ndo ingekuwa Ukraine ikanyoshwa na anko putin mpaka huu upuuzi wa kulialia na kukopa hovyo ukome.
Poor Tanzania [emoji1241]