USAID yatangaza kusitisha misaada nje ya nchi

Natamani niuone huo ukimwi
 
Daah aisee tunakokwenda huko hatari sana bora wakihakiki walete hizo dawa itakua shida sana aisee watu wataanza kuuza tena hizo dawa kutoka nje ya Nchi..
 
Siku tukijitambua na kuelewa nini maana ya kujitegemea tutaheshimiana sana tufanye kazi kwa bidii tujitegemee tudhibiti mianya ya kupoteza pesa za umma pia kupunguza matumizi yasiyo na tija.
 
Kama kuna hela zisizo na kazi za kuwapa kina mwijaku na mwashambwa, ni bora trump ameliona hili.
 
Watu wengi wasichokijua ni kwamba, sehemu ya misaada hiyo ilitumika kukandamiza demokrasia na maendeleo ya watu nchi husika
 
Natamani niuone huo ukimwi
Nimewahi kuwaona wagonjwa wa ule Ukimwi wa zamani Mwaka 1999

Mtu amekonda amebaki kichwa tu

Hata kama ulikuwa na mwili Mkubwa kama wa Peter Msechu ama Muigizaji JB lakini utakonda na kubaki na kilo kama 7 hivi

It was a disaster 🙌
 
Uzuri wake siku hizi Bajeti ya Serikali kwa asilimia kubwa inatekelezwa na fedha za ndani sio kama zamani tulivyokuwa tunategemea wafadhili.

Hapo ndio kama nchi ndipo inatupasa tujitafakari sana kuwa karibu na hawa mabeberu vigeugeu
Una uhakika?
 
Tutumie nn ili tuongeze kinga ya mwili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…