Usaili Jeshi la Magereza na Uhamiaji

Usaili Jeshi la Magereza na Uhamiaji

wakuu naomba kujua ivi kwa walio omba nafasi ya uhamiaji kwa ngazi ya degree mafunzo yao yanakua ni tofauti na ya fm4? na miezi ya mafunzo inatofautiana au woote ni sw kweny mafunzo?
 
Kwenye mafunzo wote mnapata kwa pamoja ikifika kwenye fani husika hapo ndo Kuna degree na form four
 
Back
Top Bottom