Mzee kwa zile post za magereza kwa walioomba kwa kutumia cheti Cha form four wameshaitwa kwenye usaili mfano pwani baadhi ya wilaya wanafanya kesho wengine kesho kutwa but mikoa mingine sijajuaForm four tayr kiaje na wanachukua weng wap umeskia nafas zile waga ni chache waga hazizid zaid ya mia5 kuna form four bado six bado wenye degree wote wameomba sema huu mwaka hawajataja idadi ya wanaoitajika lakin tarajien mwisho wa mwez pili msikalili
Yeaap ni kwelii hua ndo hivoo mwez wa pili mwisho ni kuripoti chuoni kwa ajili ya kozii so hapa mwanzoni mwa February tujiandae na keka la usailii TuHakuna kitu kama hicho mkuu huo mwezi wa pili mwishoni ni kuitwa kozi lakini kuitwa usaili ni siku yoyote kuanzia leo.
Watu washafanya usaili jmn labda kama Kuna usaili wa Mara ya piliUsahil mwish wa mwez so fanyen mengine tu
We umeshafanya?Watu washafanya usaili jmn labda kama Kuna usaili wa Mara ya pili
Umeitwa
Ndio mkuuOngera mkuu ndo mpo asubuhi hii
Mkuu vipii wale wa mujibu nao wameitwa hapo ? Kama wapoNdio mkuu
Sawaa MkuuMwaka huu wote tunachukuliwa
Kabisaa mkuu sema we uliombeaa mkoa ganii??Tutashukuru watoto wa maskini
Ndo mloitwa segerea au we ni kwinginee?Dar es salaam
Bado hujaingiaa kwenye interviewNipo hapo hapo
Kwa form fourWew umeomba kwa form four au six au chuo
Mimii ni wa mujibu na nimeomba kwa Form Four Niko Shinyanga usaili ni kesho sieeMimi mujibu ila nimeomba kwa form four nimeambia form four wanachukua wengi,wew mujibu au wakujutolea
Washkaj zangu wengine wametumiwa text Jana Usiku Mie sjatumia ya kuitwa kwa usaili msela ndo amenistua kua wameitwa usaili keshooUmepigiwa simu
WakujitoleaaAo mujibu au wakujitolea
Hainaa nomaa mkuu....kama viip nitumie namba yako PMUtaitwa mkuu niamini mujibu tunachukuliwa
Kotee niliombaaNimekutumia uhamiaji umeomba
mlio fanya usaili jamani tupeni maelekezo maswali ni yapi haswaa..?ndio,tumejaa hapa gereza la segerea.