Usaili Jeshi la Magereza na Uhamiaji

Usaili Jeshi la Magereza na Uhamiaji

Wakuu kwa wale mliochaguliwa UHAMIAJI kuna mabadiliko kwenye kuripoti huko Chuonii !..Mmeona?
 
Duuh mpaka na mie imenishangazaa.....mwaka huu imekua na mambo mengii !!
Lonja linasema bajet eti thow haiingii akilini mana pesa za vifaa tu kwa vjana 400 n zaidi ya 160M ambazo zingewatosheleza kwa izo two weeks. Wacha wenye lonja la uhakka waje
 
Hio 160M ni gharama za mafunzoo si ndioo auu vipii!??
 
Hivi mtu kuitwa kwenye usaili na vyeti vyake halisi vya form four na form six vimepotea(ashaanza taratibu za kupatiwa vingine)ila ana vyeti halisi vya chuo na leseni hai ya fani iliyothibitishwa anayo pia,anaweza kupokelewa kwenye usaili?
 
ila MT bhnaa Kumbe muda wote huoo usaili makao makuu ulikua badoo😀😀kwenye fani hua afadhali sanaa Kuliko huku changanyikenii
 
Hivi mtu kuitwa kwenye usaili na vyeti vyake halisi vya form four na form six vimepotea(ashaanza taratibu za kupatiwa vingine)ila ana vyeti halisi vya chuo na leseni hai ya fani iliyothibitishwa anayo pia,anaweza kupokelewa kwenye usaili?
Bro km hutopata majibu sahihi hapa mm nakushauri nenda na vithibitisho mengne utayajua huko huko. “Ni kheri kushindwa ukiwa uwanja wa vita kuliko kushindwa kitandani”
 
Wadau mwenye uzoefu naomba anijibu Haya machache kuhusu UT
1;Vipimo vya afya hufanyika wiki ngapi baada ya watu kuripoti?
2;Baba kanisend huungana na wengine kambini muda gan baada ya tarehe ya kuripoti?
3;Wasioripoti,Unfit na wanaofeli vipimo vya afya nafasi zao hujazwa ama zinaachwa tu?
kama zinajazwa utaratibu gani unatumika?

#Natanguliza shukrani wakuu
 
*Vipimo vya afya hufanywa wiki ya ngapi baada ya watu kuripoti?
 
Wadau mwenye uzoefu naomba anijibu Haya machache kuhusu UT
1;Vipimo vya afya hufanyika wiki ngapi baada ya watu kuripoti?
2;Baba kanisend huungana na wengine kambini muda gan baada ya tarehe ya kuripoti?
3;Wasioripoti,Unfit na wanaofeli vipimo vya afya nafasi zao hujazwa ama zinaachwa tu?
kama zinajazwa utaratibu gani unatumika?

#Natanguliza shukrani wakuu
Kwenye Baba Kanisend kuna mwana aliendaga baada ya mwezi wengine kuripot ila hapo ilikua PT....kwa vyombo vingine sijui..ila PT ndo nimeona sana
 
Okay sawa mdau, mengne ngoja waje wadau watupe uzoefu wao
 
Back
Top Bottom