Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh mpaka na mie imenishangazaa.....mwaka huu imekua na mambo mengii !!UT kunani Mwaka huu? Watu walipaswa kuripoti kesho, wameahirisha mpk trh 15
Lonja linasema bajet eti thow haiingii akilini mana pesa za vifaa tu kwa vjana 400 n zaidi ya 160M ambazo zingewatosheleza kwa izo two weeks. Wacha wenye lonja la uhakka wajeDuuh mpaka na mie imenishangazaa.....mwaka huu imekua na mambo mengii !!
Hio 160M ni gharama za mafunzoo si ndioo auu vipii!??Lonja linasema bajet eti thow haiingii akilini mana pesa za vifaa tu kwa vjana 400 n zaidi ya 160M ambazo zingewatosheleza kwa izo two weeks. Wacha wenye lonja la uhakka waje
Izo ni pesa ambazo wadau waliochaguliwa watalipa za vfaa nk kwa hao 400 waliochaguliwaHio 160M ni gharama za mafunzoo si ndioo auu vipii!??
Duuh aiseeeIzo ni pesa ambazo wadau waliochaguliwa watalipa za vfaa nk kwa hao 400 waliochaguliwa
Ndoige zimetembea balaa, MT uwe na shahada ama stashahada ya Afya yyte angalau utatoboaWalioitwa kwenye usaili magerezaView attachment 2961880
Bro km hutopata majibu sahihi hapa mm nakushauri nenda na vithibitisho mengne utayajua huko huko. “Ni kheri kushindwa ukiwa uwanja wa vita kuliko kushindwa kitandani”Hivi mtu kuitwa kwenye usaili na vyeti vyake halisi vya form four na form six vimepotea(ashaanza taratibu za kupatiwa vingine)ila ana vyeti halisi vya chuo na leseni hai ya fani iliyothibitishwa anayo pia,anaweza kupokelewa kwenye usaili?
Bro km hutopata majibu sahihi hapa mm nakushauri nenda na vithibitisho mengne utayajua huko huko. “Ni kheri kushindwa ukiwa uwanja wa vita kuliko kushindwa kitandani”
*Vipimo vya afya hufanywa wiki ya ngapi baada ya watu kuripoti?Wadau mwenye uzoefu naomba anijibu Haya machache kuhusu UT
1;Vipimo vya afya hufanyika wiki ngapi baada ya watu kuripoti?
2;Baba kanisend huungana na wengine kambini muda gan baada ya tarehe ya kuripoti?
3;Wasioripoti,Unfit na wanaofeli vipimo vya afya nafasi zao hujazwa ama zinaachwa tu?
kama zinajazwa utaratibu gani unatumika?
#Natanguliza shukrani wakuu
Kwenye Baba Kanisend kuna mwana aliendaga baada ya mwezi wengine kuripot ila hapo ilikua PT....kwa vyombo vingine sijui..ila PT ndo nimeona sanaWadau mwenye uzoefu naomba anijibu Haya machache kuhusu UT
1;Vipimo vya afya hufanyika wiki ngapi baada ya watu kuripoti?
2;Baba kanisend huungana na wengine kambini muda gan baada ya tarehe ya kuripoti?
3;Wasioripoti,Unfit na wanaofeli vipimo vya afya nafasi zao hujazwa ama zinaachwa tu?
kama zinajazwa utaratibu gani unatumika?
#Natanguliza shukrani wakuu
Okay sawa mdau, mengne ngoja waje wadau watupe uzoefu waoKwenye Baba Kanisend kuna mwana aliendaga baada ya mwezi wengine kuripot ila hapo ilikua PT....kwa vyombo vingine sijui..ila PT ndo nimeona sana
Wenye connections waje wasemevip uhamiaj kozi ishaanza?
Sina uhakka sana lkn lonja nililonalo wiki hii ndo wamechukua vpmo na majibu bado mpk wiki ijayo nadhan na kozi ndo itaanza baada ya majibuWenye connections waje waseme