Usaili kada ya Afya 2024: Matokeo ya usaili ya kuandika (written) Tabibu daraja la pili (Clinical officer II) yametoka

Hao wa 98 it is said walikuwa kwenye practice na maswali mengi yelielekea huko...utendaji.

eg: Anakuja mgonjwa unconscious utafayaje, emergency care ni pi you will provide to rescue life?
 
Hao wa 98 it is said walikuwa kwenye practice na maswali mengi yelielekea huko...utendaji.

eg: Anakuja mgonjwa unconscious utafayaje, emergency care ni pi you will provide to rescue life?
And it was multiple choice questions.
 
I am a senior citizen and by that time we were very few university graduates, therefore at some moments, more than 10 or so companies were vying/"fighting" for you to be employed by them!
Eh tumefikaje huku mkuu?
 
Hao wa 98 it is said walikuwa kwenye practice na maswali mengi yelielekea huko...utendaji.

eg: Anakuja mgonjwa unconscious utafayaje, emergency care ni pi you will provide to rescue life?
Excuses are like assholes. Everyone has one, and they all stink- Michalowicz
 
Huyo wa mwisho aliyepata 58% ambaye n selected, sipati picha presha + furaha aliyonayo
Mimi mwaka jana October nilikua wa pili kutoka mwisho kwenye selected for oral kati ya watu 25 tuliokua selected na siku ya Oral ndio nilikua wa mwisho kuingia panel room, lakini mwaka huu February mkeka ulitoka wa placement nikiwa miongoni mwa waliopata hiyo kazi. Kwenye Oral wanaenda kuanza upya matokeo ya written hayatambuliki tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…