Hongera sana mkuuMimi mwaka jana October nilikua wa pili kutoka mwisho kwenye selected for oral kati ya watu 25 tuliokua selected na siku ya Oral ndio nilikua wa mwisho kuingia panel room, lakini mwaka huu February mkeka ulitoka wa placement nikiwa miongoni mwa waliopata hiyo kazi. Kwenye Oral wanaenda kuanza upya matokeo ya written hayatambuliki tena.
Hapo kuna watu zaidi ya elfu 2 hawakwenda au walizuiliwa kufanya pepa kwasababu mbalimbali pia kuna ambao hawakuomba kabisa...yaani mtaani ni balaa.6500s candidates kwa clinical officer tu, kweli hali sio hali.
Kwakweli mimi naipongeza serikali maana vijana wengi wamepita na kupata GPA kubwa kwa gaka.Waliokuwa wanapinga Interview, sasa wataelewa vizuri maana ya Interview
Kuna demu nilikua nafanya nae kazi mwaka jana dah kilaza kinoma akabahatika kupata kazi alipofika kule bado mambo yale yale sasa kuna jamaa anafanya kituo hiko hiko ,siku nimeenda mbeya nikakutana nae wakati tunapiga stori tukabadilishana namba ndo kuview status nikaona kampost ana muwish. Nikamuuliza akasema anapiga nae kazi ndo akamwaga mchele jinsi alivyo mzigo mpaka watu wanajiuliza alifaulu vipi. Sasa fikiria huyo kama angeenda kwa hii interview angezeekea kwao na naamini kuna watu watazeekea nyumbani.20 na 30 za kutosha, alafu Hawa ndio walitaka wapite bila interview
Kwa nnWenye vituo binafsi watakua majeuri zaidi sasa
Graduates wengi wa sasa inahuzunisha sana, ni weupe mno.Kuna demu nilikua nafanya nae kazi mwaka jana dah kilaza kinoma akabahatika kupata kazi alipofika kule bado mambo yale yale sasa kuna jamaa anafanya kituo hiko hiko ,siku nimeenda mbeya nikakutana nae wakati tunapiga stori tukabadilishana namba ndo kuview status nikaona kampost ana muwish. Nikamuuliza akasema anapiga nae kazi ndo akamwaga mchele jinsi alivyo mzigo mpaka watu wanajiuliza alifaulu vipi. Sasa fikiria huyo kama angeenda kwa hii interview angezeekea kwao na naamini kuna watu watazeekea nyumbani.
Lundo la watu mtaani ,maana serikalini kugumu kuingia.Kwa nn
Noma sana ,serikali isilegeze ishikirie hapo hapo.Graduates wengi wa sasa inahuzunisha sana, ni weupe mno.
Pia hawana confidence, ww pia jaribu hata kuwa unawauliza tu maswali ya kile wanafanya utajionea maajabu
Nje ya mada, ameolewa au bado mkuu?Hongera Binti E Kwa kuongoza vyema. Umeiwakilisha vyema Dar es salaa
BadoNje ya mada, ameolewa au bado mkuu?
Mkuu kama una namba yake nitumie pmBado
Hawa mademu wenye akili ni kama nyara za serikali Mzee lazima ukate mandate ya uwindaji😂Mkuu kama una namba yake nitumie pm
Mwambie tu kuwa naumwa nahitaji doctor wa kunitibuHawa mademu wenye akili ni kama nyara za serikali Mzee lazima ukate mandate ya uwindaji😂
Sawa mtaalam nitafisha salamu.Mwambie tu kuwa naumwa nahitaji doctor wa kunitibu
🤣🤣🤣janabi mtotoKo kwa ule mfumo wa zoa zoa na bahati nasibu ingewezekana huyo mwamba alofunga dimba angepata placement half huyo Janabi mtoto alopata 98 angekosa placement?
Kwakweli PSRS wametutoa gizani,Mwakani waboreshe zaidi waongeze na practical😂😂😂
Yani una mitihani NECTA STD 7, FORM 2. FORM 4. FORM 6, HALAFU ILE YA VYUONI..BADO TENA MITIHANI YA KUOMBA AJIRA..duhPSRS hawana mchezo kutoka watahiniwa 8000+ waliokuwa shortlisted mpaka kubaki 3000+ kwenda oral. Zaidi ya watahiniwa 5000 wamekandwa