neno ni upanga
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 494
- 1,656
Leo utumishi wametoa majina ya wasailiwa kada ya afya, usaili huo utaanza septemba 2 mpaka tarehe 9, katika mikoa waliombea nafasi!
Niwapongeze sekretariati ya umma kwa kazi nzuri ambapo kwa sasa ni imani yangu saili zote zitafanyika kwenye mikoa ya waombaji hii itawaondolea vijana gharama na itawafanya wote kushiriki usaili huo tofauti na mwanzo, maudhurio yalikuwa ni madogo kwa sababu wengi walikuwa wanashindwa nauli na gharama za kwenda Dodoma!
Niwatakie wasailiwa wote mithani mema! Niwahakikishie tu kama wewe ni compentent wala huna haja ya kuogopa lakini mtihani ni mtihani tu hata kama wewe ni kichwa kusimama mbele ya panel yamkini wengine uzoefu huo hamna! Lakini kila jambo ni kumtanguliza Mungu!
All the best madaktari wetu!
PIA SOMA
- Huu usaili wa kada za afya una walakini na unatengeneza mianya ya rushwa