Usaili kada ya Afya utaanza Septemba 2 mpaka 9, 2024

Usaili kada ya Afya utaanza Septemba 2 mpaka 9, 2024

Nawaombea wote mpate alama za pass ili waone graduates wote tupo nondo
 
Written nani atasahihisha makaratasi ya watu 8,000? Mavi matupu
Mkuu usaili ni wa kidigitali kama umewahi kwenda maswali ni mulitiple chòice yanakuwa 20 dakika 25 ukimaliza tu matokeo yako unayaona automatically wala hamna wa kukusahishia
 
Mbona tatizo hili gharama haziepukiki hapa za nauli maana nimeomba kazi lindi ila natokea mbeya na anuani niliyo andika ni ya mbeya
Ni kwa sababu haujawahi kupiga interview za dodoma ndo maana unaongea hivyo lakini waliopiga interview dodoma wanajua maana ya nauli kupungua
 
Mbona tatizo hili gharama haziepukiki hapa za nauli maana nimeomba kazi lindi ila natokea mbeya na anuani niliyo andika ni ya mbeya
Sasa kosa ni lako mkuu wao wanafuata anuani ulioandika maana ya anuani maanake ni sehemu uliopo kwa wakati huo! Kama uliomba lindi ulipaswa kuandika anuani ya lindi mkuu, Usije kujichanganya kwenda sehemu ambayo hujapangwa mkuu!!
 
Amna mkuu anuani nimeandika ya mbeya ila ukiingia kwenye account wanasema interview itafanyika sehem uliyo ombea kazi na sehemu niliyo ombea kazi ni kundi
 
Acha uoga wewe! Ulifikiri waitwe watu kumi?? Kumbuka kila mmoja anaogopa kama wewe! Ukighairi kwenda ndo maana ya mchunjo sasa unajichunja mapema kama hujiamini!
Sio kama naogopa interview mm nop
Nikiangalia lab tech wanahitajika watu 300 halafu pdf imetema 2000 naaa mzuka unakata aisee
 
Nitaenda...huenda ikawa bahati yangu...
Mbona wakata tamaa mapema hivyo. Sometimes hizi mambo ni bahati kazi nayofanya tulikuwa elfu ishirini na mbili tukaenda hivyo hadi tukabaki 100
 
Sio kama naogopa interview mm nop
Nikiangalia lab tech wanahitajika watu 300 halafu pdf imetema 2000 naaa mzuka unakata aisee
Hiyo kawaida mkuu! Wengine tulishazoea mtu mmoja wanaitwa watu 800! Nenda kapige iterview ukifaulu hata kama hutapata nafasi utakuwa database muda wowote utaitwa kazini
 
Amna mkuu anuani nimeandika ya mbeya ila ukiingia kwenye account wanasema interview itafanyika sehem uliyo ombea kazi na sehemu niliyo ombea kazi ni kundi
Mmepishana lugha mkuu!! Wewe ndo hujawaelewa wewe uliomba kazi wapi??? Kama uliomba kazi lindi ulipaswa uweke anuani ya lindi currently wanaamini upo hapo! Vinginevyo lazima utagharamika maana mfano wewe upo dar unaomba kazi mwanza maanake lazima utaenda usaili mwanza mkuu! Bado kosa sio lao
 
Back
Top Bottom