Usaili kada ya Afya utaanza Septemba 2 mpaka 9, 2024

Shukran nimekuelewa mkuu
 
Kuna baadhi ya watu wa afya na najua na waalimu nao wataingia humu humu ikifika wakati wao, ety wanasema inakuaje watu wengi hvy hy mitihani itasahihishwa vp kumaliza watu wote.

Majibu ya written interview ni multiple choice hvy Jibu Ni moja tuu hvy system itahesabu majibu sahihi kwa muda mfupi sana na ndio mana majibu mtayapata siku hy hy.

Kwahy nyie watu wa afya na waalimu acheni upumbavu wenu ety watu wengi hvy mitihani yao itasahihishwa vp.

Utumishi shikilieni hapo hapo πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Mkuu unapiga sana spana tumetubuπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Swali mkuu dogo anatumia majina mawili ila NIDA Ina matatu na hiyo anatakiwa awe na DEED POLL?
 
Lab tech wanahitajika 300 tu tz nzima
Pdf imetema karibia elfu 2 na ushee Sasa ndo nn takataka Kabisa yani

Kila mtu lazima apewe nafasi aoneshe uwezo wake. Hao wengine watumie kigezo gani kuachwa? Mimi nadhani kila mtu apewe nafasi. Kama nafasi ziko 5 wameomba watu 500, anaeona nafasi ni chache jiengue mwenyewe kwa vigezo vyake na si kuwatega utumishi wamuondoe.​
 
Tupeni updates mliofanya mtihani wa kidigitali leo hii. Nashauku ya kujua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…