Usaili kwa walimu uliokuwa ufanyike Oktoba mpaka Novemba wasitishwa mpaka hapo watakapotangaziwa tena

Usaili kwa walimu uliokuwa ufanyike Oktoba mpaka Novemba wasitishwa mpaka hapo watakapotangaziwa tena

Natumaini hao wataajiriwa moja kwa moja wote
 
PSRS mwaka huu wamejizolea umaarufu. Hizi ndio takwimu Walioitwa kwenye usaili wa ualimu/ Nafasi zinazohitajika:

WANAOHITAJIKA KWA KILA KADA YA UALIMU/WALIOITWA KWENYE USAILI
1. Daraja la IIIA (Awali)= 20/2024
2. IIIA = 2851/15,640
3. IIIA (Maalum)=13/225

Daraja la IIIB
1. Geography= 175/2878
2. Kemia = 488/3551
3. Bios = 505/3173
4. Tehama = 59/399
5. Awali = 15/846
6. Kiswahili = 142/2400
7. Msingi = 464/2351
8. Civics = 59/ 419
9. History = 152/2269
10. Physics = 740/1513
11. B/maths = 663/1919
12. English = 390/1548
13. Literature = 65/36
14. French = 2/4
15. Bookping =24/75
16. Agriculture = 29/215
17. Commerce = 23/79
18. Maalum = 7/13
19. Food & Nutrition = 2/34
20. Textile = 2/ 4

Daraja la IIIC
1. Kiswahili = 184/28,202
2. Geography = 310/26,770
3. History = 211/21,407
4. Literature = 64/7,489
5. English = 412/15,225
6. Bios = 515/11,837
7. Economics = 16/2,698
8. Tehama = 33/1160
9. Agriculture = 31/546
10. Msingi = 37/975
11. Kemia = 544/9891
12. Maalum = 3/ 1011
13. Civics = 46/1622
14. Physics = 633/ 865
15. B/maths = 662/2033
16. Bookping = 19/589
17. French = 3/77
18. Commerce = 22/845
19. Lab Technician = 380/1197

Generally
Wanaoitajika 11,015
Walioitwa usahili 176,054
 
Uchaguzi unahusiana vipi na usaili, kuna kitu kipo nyuma ya hili, uchaguzi unasimamiwa na Tamisemi na usaili ni Tume ya ajira hizi ni idara mbili tofauti.
Mbona wizara nyingine mambo hayajasimama yanaenda vilevile.
Uchaguzi ni issue ya serikali nzima haina kitengo maalumu. Ni wakati wa kujiandikisha na kampeni hata wasahiliwa Wana haki ya kugombea wako busy na interview utagombea saa ngapi!?
 
Narudia Tena yote hayo ni tisa la kumi ni wasiwaache wajomba na mashangazi waliomaliza tangu 2015 ,2016 2017, 2018,2019 .This is a red Dark red sin.

Hawa watu ni kama vichanga waliotolewa mimba wakatipwa chooni.
Hawa watu ukiwaona or ukiwa Nao jirani Utaelewa ninalosema. Ni aina mbaya ya dhulma. Maana Kila kitu maishani mwao kimesimama na umri Nao unawapungia mkono.😭😭😭😭
Inasikitisha sana Mkuu na hakuna anaejali.
 
IMG-20241018-WA0003.jpg
 
PSRS mwaka huu wamejizolea umaarufu. Hizi ndio takwimu Walioitwa kwenye usaili wa ualimu/ Nafasi zinazohitajika:

WANAOHITAJIKA KWA KILA KADA YA UALIMU/WALIOITWA KWENYE USAILI
1. Daraja la IIIA (Awali)= 20/2024
2. IIIA = 2851/15,640
3. IIIA (Maalum)=13/225

Daraja la IIIB
1. Geography= 175/2878
2. Kemia = 488/3551
3. Bios = 505/3173
4. Tehama = 59/399
5. Awali = 15/846
6. Kiswahili = 142/2400
7. Msingi = 464/2351
8. Civics = 59/ 419
9. History = 152/2269
10. Physics = 740/1513
11. B/maths = 663/1919
12. English = 390/1548
13. Literature = 65/36
14. French = 2/4
15. Bookping =24/75
16. Agriculture = 29/215
17. Commerce = 23/79
18. Maalum = 7/13
19. Food & Nutrition = 2/34
20. Textile = 2/ 4

Daraja la IIIC
1. Kiswahili = 184/28,202
2. Geography = 310/26,770
3. History = 211/21,407
4. Literature = 64/7,489
5. English = 412/15,225
6. Bios = 515/11,837
7. Economics = 16/2,698
8. Tehama = 33/1160
9. Agriculture = 31/546
10. Msingi = 37/975
11. Kemia = 544/9891
12. Maalum = 3/ 1011
13. Civics = 46/1622
14. Physics = 633/ 865
15. B/maths = 662/2033
16. Bookping = 19/589
17. French = 3/77
18. Commerce = 22/845
19. Lab Technician = 380/1197

Generally
Wanaoitajika 11,015
Walioitwa usahili 176,054
Yote katika yote Ni Hongera Kwa waliovuka hatua iyo, Na waliofanya kazi hiyo nzito. Wito ninaotoa kama mtanzania mwema, pamoja na uwekezaji mkubwa kubadili mitaala, majengo ya Madarasa mapya, shule mpya, zikiwemo maboma yalomaliziwa na hata Nyumba za waalimu, bila kusahau elimu Bure, nina Uliza na kusihi,

Kwa wakati wa usoni ni Bora yote hayo niliyoorodhesha angalau Kwa uchache yangepunguzwa ikama zaidi ielekezwe kuajiri, hapa itaondoa upungufu wa waalimu Kwa kiasi kikubwa ikiwemo kusaidia uwiano wa idadi ya wanafunzi Kwa mwalimu, pia kiuchumi hao waajiriwa watanufaika wao na serikali kupitia Kodi na marejesho ya Mikopo elimu ya juu Kisha Jamii nayo itastawi.

Nawasilisha.
 
PSRS mwaka huu wamejizolea umaarufu. Hizi ndio takwimu Walioitwa kwenye usaili wa ualimu/ Nafasi zinazohitajika:

WANAOHITAJIKA KWA KILA KADA YA UALIMU/WALIOITWA KWENYE USAILI
1. Daraja la IIIA (Awali)= 20/2024
2. IIIA = 2851/15,640
3. IIIA (Maalum)=13/225

Daraja la IIIB
1. Geography= 175/2878
2. Kemia = 488/3551
3. Bios = 505/3173
4. Tehama = 59/399
5. Awali = 15/846
6. Kiswahili = 142/2400
7. Msingi = 464/2351
8. Civics = 59/ 419
9. History = 152/2269
10. Physics = 740/1513
11. B/maths = 663/1919
12. English = 390/1548
13. Literature = 65/36
14. French = 2/4
15. Bookping =24/75
16. Agriculture = 29/215
17. Commerce = 23/79
18. Maalum = 7/13
19. Food & Nutrition = 2/34
20. Textile = 2/ 4

Daraja la IIIC
1. Kiswahili = 184/28,202
2. Geography = 310/26,770
3. History = 211/21,407
4. Literature = 64/7,489
5. English = 412/15,225
6. Bios = 515/11,837
7. Economics = 16/2,698
8. Tehama = 33/1160
9. Agriculture = 31/546
10. Msingi = 37/975
11. Kemia = 544/9891
12. Maalum = 3/ 1011
13. Civics = 46/1622
14. Physics = 633/ 865
15. B/maths = 662/2033
16. Bookping = 19/589
17. French = 3/77
18. Commerce = 22/845
19. Lab Technician = 380/1197

Generally
Wanaoitajika 11,015
Walioitwa usahili 176,054
Yote katika yote Ni Hongera Kwa waliovuka hatua iyo, Na waliofanya kazi hiyo nzito. Wito ninaotoa kama mtanzania mwema, pamoja na uwekezaji mkubwa kubadili mitaala, majengo ya Madarasa mapya, shule mpya, zikiwemo maboma yalomaliziwa na hata Nyumba za waalimu, bila kusahau elimu Bure, nina

Uliza na kusihi Kwa wakati wa usoni ni Bora yote hayo niliyoorodhesha angalau Kwa uchache yangepunguzwa ikama zaidi ielekezwe kuajiri, hapa itaondoa upungufu wa waalimu Kwa kiasi kikubwa ikiwemo kusaidia uwiano wa idadi ya wanafunzi Kwa mwalimu, pia kiuchumi hao waajiriwa watanufaika wao na serikali kupitia Kodi na marejesho ya Mikopo elimu ya juuKisha Jamii nayo itastawi.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom