Usaili wa jana wa TRA kuna mtu aliniambia hajaona mtoto wa Kihindi pale, Unajua kwa nini?

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Wahindi ukiachilia mbali mambo yao mengine wale jamaa huwa ni watu wenye akili sana, Hatuwezi lingana nao kwa akili.

Wahindi huwanandaa sana watoto wao Kisaikolojia tangu wakiwa Chekechea.

Wahindi huwaandaa watoto wao kuja kuwa Wafanya biashara au kuja kurithi Biashara zao.

Wahindi ni Made Entrepreners.

Ndo maana Chuoni hutawakuta aanasoma kozi tofauti na zinazo endana na Kile wanacho fanya wazazi wao.

Wahindi utawakuta wanasoma.
- IT
-Law
-Marketing
-Accounting
-Procurement
-Na Uhandisi

Wanaosoma wakimanisha kabisa.

Niwakati sasa wa kuwaandaa watoto wetu kisaikolojia, waandae wasome waje kuwa Wafanya biashara wakubwa, wakulima wakubwa, wafugaji wakubwa na kadhalika.

Wacha kuwaaminisha kwamba wanasoma waje kuwa na maisha mazuri au waje kuwa Mameneja wa benki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi hunikalishi kwenye li crowd la watu wengi hvyo eti kisa natafta kazi. Hata kama ningekua sina hela....basi tu hunikalishi pale.

Like seriously bado sija fail life kiasi hicho. Kwa jinsi akili yangu navyoijua i can never do such a thing.
 
Sasa wewe baba yako maskini unataka kujifananisha na mtoto wa Dewji? yaani hauna tofauti na Kigwanomics! Fukara ana muda wa kumuandaa mwanae a some nini? Usipojiongeza inakula kwako, labda akuandae kuja kuwa mpiga ramli
 
chakii umetisha mkuu.
Ndio hivyo mkuu, elimu yetu imetuandaa kutumikia fedha na siyo fedha zitutumikie sisi.

Ndiyo maana wazazi wanawasisitiza watoto wao wasome kwa bidii waje wapate kazi na mshahara mzuri, nyumba nzuri, promotion n.k


Sasa mambo kumbe hayapo straight hivyo na needs zetu nazo zinabadilika. Inatakiwa inafika wakati fedha zako zinatakiwa zikutumikie wakati wewe nguvu huna tena, That's BUSINESS/INVESTMENTS nazungumzia
 
Serikali na Tasisi zake ni pure African.
Na haina sera ya kuajiri asiekua mweusi. Hii ni sere rasmi kabisa.
tupo tofauti na Kenya. Tuna kaubaguzi fulani ambao unatutafuna na kusambaa hadi kuchaguana kikabila na kidini
mtu atasema mbona wabunge wapo.....hao wote ni fedha yao ndio inatumika.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi wengine ni madalali kwaiyo tuwaandae watoto wetu kuwa madalali?
 
Mimi hunikalishi kwenye li crowd la watu wengi hvyo eti kisa natafta kazi. Hata kama ningekua sina hela....basi tu hunikalishi pale.

Like seriously bado sija fail life kiasi hicho. Kwa jinsi akili yangu navyoijua i can never do such a thing.
Unaonekana mjanja mjanja sana senior boss, hio picha yako inanikumbusha uncle wangu mmoja Big Steve. Alitikisa sana bongo from late 90's to mid 2000's.
Alikuwa mpigaji wa hatari sana, level za Pro...
 
Sasa wewe baba yako maskini unataka kujifananisha na mtoto wa Dewji? yaani hauna tofauti na Kigwanomics! Fukara ana muda wa kumuandaa mwanae a some nini? Usipojiongeza inakula kwako, labda akuandae kuja kuwa mpiga ramli
Ndo uwezo wako wakuwaza umefikia mwisho? Tofauti ya Tajiri na Masikini ni kwenye Muda, Mo anatumia vipi muda wake na Masikini anatumia vipi muda wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…