Usaili wa jana wa TRA kuna mtu aliniambia hajaona mtoto wa Kihindi pale, Unajua kwa nini?

Usaili wa jana wa TRA kuna mtu aliniambia hajaona mtoto wa Kihindi pale, Unajua kwa nini?

Mkuu jaribu kuwa positive katika maisha ni kweli wazazi wetu hawakutuandalia maisha lakini haimaanishi kwamba hatuwezi kuandaa maisha ya vizazi vyetu vijavyo

Kingwangala amekuwa akiongea vitu vya ukweli na msingi sana lakini kwa sababu tumejichagulia upande basi akileta hoja tunampinga hapana sio chukueni ya msingi yafanyieni kazi

Hapana we can start now na tukaleta mabadiliko

Sawa wapo maskini pia hoja ya msingi ni kwamba unakiandaaje kizazi chako kukabiliana na changamoto za maisha
Sisi waafrika ni wanaume mashine, tumezoea kuzaa na kufanya mapenzi ndio tunachojua. Unakuta Unazaa watoto wengi na wakati hata maisha yenyewe huna. Lazima Umasikini utuue tuuuuuuuu hakuna jinsi. Wenzetu wakizaa wanapanga bajeti ya mtoto, na wakati huku mtu anazaa na wakati hata pesa yenyewe ya kwenda hospital [emoji541] kujifungua ni ishu sana.
Yaani Africa [emoji288] ni upumbavu upumbavu tuuuuuuuu, ndio maana Donald Trump anatutukana laivu laivu.
 
Ukishaingiza mambo ya imani tu umeharibu! Twende kisayansi, Je IQ inatofautiana kutokana na jamii fulan!?
Ugali Mlenda na Ugali maharagwe.. , uwezi kuwa na IQ sawa na Dewji. Tunakula vyakula ambavyo havina msaada wowote katika Ubongo ndio uje uwe na maisha. Labda itokee ngekewa
 
Acha uongo serikali yetu inaajiri raia yeyote bila kujali race yake au rangi yake. Sema watanzania hao wenye asili ya asia au mabara mengine hawapendi sana hizi kazi ambazo za kiofisi na zinazofanana na ukarani tu. Nenda Muhimbili kuna daktari wa kihindi na wengineo kwa maana ukiachana na uhandisi au biashara au urubani hao jamaa hupenda udaktari. Wengi wao hupenda kujiajiri au kuajiriwa na biashara au kampuni za familia zao. Hawapendi kazi za serikali wanataka uhuru flani kama unavyojua utumishi wa umma ukitaka kwenda nje hadi uombe vibali n.k. Mbona Prof. Shivji na wengineo waliajiriwa na serikali? Did you do your home work to find out the truth about it or you just spat what came first in your mind without proof or evidence?
Unazungumzia zilipendwa zamani.
hao doctors they hv to work there to get experience as intership then hawana progress
sio kweli kuwa hawataki kuajiriwa wanataka na wamejaribu na miaka ya nyuma walitolewa wote.
kina shivji wamerithiwa ndio batch la mwisho
wakati tunapata uhuru walikuwapi wengi tu polisi majaji jeshini pia
walikuwapo manispaa
leseni wizarani mpaka mawaziri walikuwapo.
lakino hayo yaliondoka na Mwalimu ....ambaye alikuja ma Africanasation policy ilowatoa watanzania hawa kidogo kidogo.
hivi hizi nafasi za kuteuliwa hakuna asie mwafrika ambaye anafaa ?
Na wapo wamesoma sana na ni adminstrators wazuri sana...uliwahi..hawakatai wakipewa nafasi...hawapewi
huko kwenye ajira za kawaida ndo kabisa hawapati. Wao kilicho baki ni kusaidiana tu . Kwenye community zao.
huku bara kuna ubaguzi huo usipinge. Hawaombi tena nafasi kwani wanajua matokeo.
zanzibar ipo tofauti wapo kila rangi serikalini na kenya they dont care so long una uwezo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
c0ffa3a97705b86dca6e364cc4584a07.jpg
f546d291c7c21870e1225e4b6b777210.jpg
Waliofanya paper jaman ebu mtupe muongozo maswal yana base wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hutaki maswala ya Imani Ni la kwako hilo mimi hainihusu Hapa nimetoa maoni yangu kwa Sababu hii JF ni Uhuru wa maoni alimradi Usivunje sheria zilizopo....

Naomba nikujibu swali lako kwa mfano huu:-

Chukua Wanawake wawili Wajawazito....Mmoja Ni Mmakonde wa Mtwara. ...alafu Mwingine Ni Mjerumani mzaliwa wa Berlin... Halafu wapeleke chumba kimoja Cha kujifungulia baada ya kila Mmoja Kujifungua wajaribu kubadilishana watoto...Yule Mama wa Kijerumani amchukue Mtoto wa Kimakonde aende nae Germany na Yule Mama wa kimakonde amchukue Mtoto Wa kijerumani aende nae Huko Mtwara ....alafu kila mmoja amlelee mtoto wake Kulingana na maadilli, Elimu, na mtizamo wa jamii yake... Yaani...hapa namaanisha Yule Mama Mjerumani Ampeleke yule Mtoto wa Kimakonde Shule za Huko Ujerumani amfundishe Tabia , Tamaduni, Imani Ya dini, na Mengineyo ikiwemo Kuchangamana na Wajeruman na Kukulia Tamaduni zao za Kila siku....

Na Yule Mmakonde Amlelee Yule Mtoto wa Kijerumani Kwa Mujibu wa Jamii na Msimamo wa Kimakonde.....

Alafu Baada ya Miaka 20 wachukue wale watoto alafu uniambie kama watakuwa wanafanana ....Yule Mtoto wa Kitanzania mmakonde Utakuta Hajui Kiswahili wala Kimakonde,, Atakuwa anajua Lugha ya alikokulia atakuwa na Misimamo, imani na Akili kama walivyo Wajerumani...

Na yule Mtoto (mjerumani) aliyekulia mtwara utakuta Ni mkulima mzuri wa Korosho,hajui kijerumani, wala Kiingereza labda cha kuombea maji.. (Kama alienda sekondari au chuo).... Na Utakuta Fikra zake ni kama za Mtanzania wa Kawaida Tena Usishangae Kumkuta Ndoto zake ni siku moja Na yeye Afike japo hata Dar...

Jambo la kujua hapa ni kwamba Mtoto anapozaliwa Ubongo wake kwa wakati huo ni kama kontena Tupu Haijalishi amezaliwa na nani, haijalishi ni Rangi gani, Haijalishi dini Kabila , wala Utajiri wa wazazi wake....Tifauti ni Kwamba kadri anavyozidi kukua anaanza kujawa na Fikra, misimamo, utamaduni na Imani za Jamii na Wale waliomzunguka ... Binadamu siku zote anakuwa Kulingana na Wale waliomzunguka ...na Kiwango cha maisha ya Mtu hakiwezi Kuvuka Mipaka ya Kufikiri Kwake...Fikra zako Zinapokwamia Ndipo na Kiwango cha maisha yako kitakapokomea...

Hali ya Maisha Tuliyo nayo imejengwa Kwa miaka mingi kutokana na Kile unachokisoma, unachojifunza na Kukifanya Tangu unapokuwa Mtoto mdogo Rangi ya mtu iko kwenye ngozi ya Nje tu lakini Wote wana Damu nyekundu, wote wana Ubongo wenye sehemu tatu ...wote wana Macho mawili na Wote wanaenda Haja.....

Kuna watu weusi wana Uchumi na Utajiri mkubwa Kuliko hata Wazungu na Wahindi na wanamiliki Biashara na Kampuni na wameajiri wazungu na wahindi Kibao

Vile Ulivyo ni Matokeo ya Unavyofikiri na Unachokiamini na Cyo rangi ya Ngozi.... Ukitaka kubadilika kimaisha ni lazima Kwanza Ubadilishe namna Unavyofikiri.......
Nilikua naongelea ulivyomtaja Mungu! Naona umeandika gazeti refu sana ila zimefanyika tafiti nyingi tu zilizothibitisha kwamba kwa asilimia kubwa tu IQ ina uhusiano na genes, huo mfano wako huyo mtoto wa kimakonde kama ni mtoto kilaza hata aende wapi atabaki kuwa kilaza tu and vice versa is true! Labda mazingira ya wenzetu atatafutiwa fani ya watu wenye IQ ndogo nikimaanisha kipaji ila huku tungemlazimisha shule so kama ukoo au jamii ina IQ kubwa probability ya kuzaa watoto vipanga ni more than 50percent na ndio maana mnaambiwa mchunguze wanawake wa kuoa, kwa imani yako hii unaweza kuoa ukoo kilaza na wewe mfano ni kilaza ukategemea kutoa mtoto kipanga, labda uibiwe
 
Kama hutaki maswala ya Imani Ni la kwako hilo mimi hainihusu Hapa nimetoa maoni yangu kwa Sababu hii JF ni Uhuru wa maoni alimradi Usivunje sheria zilizopo....

Naomba nikujibu swali lako kwa mfano huu:-

Chukua Wanawake wawili Wajawazito....Mmoja Ni Mmakonde wa Mtwara. ...alafu Mwingine Ni Mjerumani mzaliwa wa Berlin... Halafu wapeleke chumba kimoja Cha kujifungulia baada ya kila Mmoja Kujifungua wajaribu kubadilishana watoto...Yule Mama wa Kijerumani amchukue Mtoto wa Kimakonde aende nae Germany na Yule Mama wa kimakonde amchukue Mtoto Wa kijerumani aende nae Huko Mtwara ....alafu kila mmoja amlelee mtoto wake Kulingana na maadilli, Elimu, na mtizamo wa jamii yake... Yaani...hapa namaanisha Yule Mama Mjerumani Ampeleke yule Mtoto wa Kimakonde Shule za Huko Ujerumani amfundishe Tabia , Tamaduni, Imani Ya dini, na Mengineyo ikiwemo Kuchangamana na Wajeruman na Kukulia Tamaduni zao za Kila siku....

Na Yule Mmakonde Amlelee Yule Mtoto wa Kijerumani Kwa Mujibu wa Jamii na Msimamo wa Kimakonde.....

Alafu Baada ya Miaka 20 wachukue wale watoto alafu uniambie kama watakuwa wanafanana ....Yule Mtoto wa Kitanzania mmakonde Utakuta Hajui Kiswahili wala Kimakonde,, Atakuwa anajua Lugha ya alikokulia atakuwa na Misimamo, imani na Akili kama walivyo Wajerumani...

Na yule Mtoto (mjerumani) aliyekulia mtwara utakuta Ni mkulima mzuri wa Korosho,hajui kijerumani, wala Kiingereza labda cha kuombea maji.. (Kama alienda sekondari au chuo).... Na Utakuta Fikra zake ni kama za Mtanzania wa Kawaida Tena Usishangae Kumkuta Ndoto zake ni siku moja Na yeye Afike japo hata Dar...

Jambo la kujua hapa ni kwamba Mtoto anapozaliwa Ubongo wake kwa wakati huo ni kama kontena Tupu Haijalishi amezaliwa na nani, haijalishi ni Rangi gani, Haijalishi dini Kabila , wala Utajiri wa wazazi wake....Tifauti ni Kwamba kadri anavyozidi kukua anaanza kujawa na Fikra, misimamo, utamaduni na Imani za Jamii na Wale waliomzunguka ... Binadamu siku zote anakuwa Kulingana na Wale waliomzunguka ...na Kiwango cha maisha ya Mtu hakiwezi Kuvuka Mipaka ya Kufikiri Kwake...Fikra zako Zinapokwamia Ndipo na Kiwango cha maisha yako kitakapokomea...

Hali ya Maisha Tuliyo nayo imejengwa Kwa miaka mingi kutokana na Kile unachokisoma, unachojifunza na Kukifanya Tangu unapokuwa Mtoto mdogo Rangi ya mtu iko kwenye ngozi ya Nje tu lakini Wote wana Damu nyekundu, wote wana Ubongo wenye sehemu tatu ...wote wana Macho mawili na Wote wanaenda Haja.....

Kuna watu weusi wana Uchumi na Utajiri mkubwa Kuliko hata Wazungu na Wahindi na wanamiliki Biashara na Kampuni na wameajiri wazungu na wahindi Kibao

Vile Ulivyo ni Matokeo ya Unavyofikiri na Unachokiamini na Cyo rangi ya Ngozi.... Ukitaka kubadilika kimaisha ni lazima Kwanza Ubadilishe namna Unavyofikiri.......
Ukweli mtupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuajiriwa kupo kila nchi. hata India wapo watoza ushuru. Hawaombi hizi kazi kwasababu wanajua nafasi yao ya kupata ni ndogo sana, ila sio kwamba hawataki. kwa mfano wangeweza kujipenyeza si wangetumia hiyo fursa kusaidia biashara za ndugu zao na za marafiki na majirani.
 
Kweli hakuna vijana wa kiihindi, ila ughaibuni wameajiriwa kila sekta, mpaka kufagia na kuokota takataka mitaani!
Tukumbuke wahindi wako wachache sana, zao lao limejikita sana kwenye biashara, ni kweli wengi wako kwenye white collar jobs, ila hata weusi sisi nasi tuko huko pia, ila maendeleo yakishika hatamu, mtawaona kila sekta...
 
Huyu charii ni mburura sana..atuambie yeye aliandaliwa kuuza kuku??
Jamaa anaabudu sana wahindi, mbona anafanya biashara ya kufuga kuku ambayo wahindi wao hawafanyi, kama anawaiga kila kitu ?
 
Jamaa anaabudu sana wahindi, mbona anafanya biashara ya kufuga kuku ambayo wahindi wao hawafanyi, kama anawaiga kila kitu ?
Ndo mwisho wako wa kuwaza? Ni hatari sana pale ambapo uwezo wako wa kuwaza unapo fikia mwisho.

Sema hujaelewa kinacho zungumziwa hapa,
 
Wahindi ukiachilia mbali mambo yao mengine wale jamaa huwa ni watu wenye akili sana, Hatuwezi lingana nao kwa akili.

Wahindi huwanandaa sana watoto wao Kisaikolojia tangu wakiwa Chekechea.

Wahindi huwaandaa watoto wao kuja kuwa Wafanya biashara au kuja kurithi Biashara zao.

Wahindi ni Made Entrepreners.

Ndo maana Chuoni hutawakuta aanasoma kozi tofauti na zinazo endana na Kile wanacho fanya wazazi wao.

Wahindi utawakuta wanasoma.
- IT
-Law
-Marketing
-Accounting
-Procurement
-Na Uhandisi

Wanaosoma wakimanisha kabisa.

Niwakati sasa wa kuwaandaa watoto wetu kisaikolojia, waandae wasome waje kuwa Wafanya biashara wakubwa, wakulima wakubwa, wafugaji wakubwa na kadhalika.

Wacha kuwaaminisha kwamba wanasoma waje kuwa na maisha mazuri au waje kuwa Mameneja wa benki
8b91126a46b94152c00d30e76fb3f558.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna Muhindi anaenda Chuo kusomea Education hahahahahaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna Muhindi anaenda Chuo kusomea Education hahahahahaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati nafanya BCom UDSM kulikuwa na muhindi mmoja ambaye aliomba admission ya degree ya education ili iwe rahisi kupata nafasi, lakini chuoni alichukua course zote za accounting na finance kama electives zinazotolewa na FCM (siku hizi UDBS), sasa hivi ni banker mkubwa sana.
 
Serikali na Tasisi zake ni pure African.
Na haina sera ya kuajiri asiekua mweusi. Hii ni sere rasmi kabisa.
tupo tofauti na Kenya. Tuna kaubaguzi fulani ambao unatutafuna na kusambaa hadi kuchaguana kikabila na kidini
mtu atasema mbona wabunge wapo.....hao wote ni fedha yao ndio inatumika.

Sent using Jamii Forums mobile app
yaani wanaubaguzi utafkiri hao weupe sio watz
 
Back
Top Bottom