Usaili wa jana wa TRA kuna mtu aliniambia hajaona mtoto wa Kihindi pale, Unajua kwa nini?

Zamani walikuwepo kila Idara... Jeshini,Polisi n.k pengine mnawanyanyapaa na pia wanaona kama watawabania nafasi za kazi and then mtawachukia so wamechukua tahadhari.

Kuna Mzee mmoja mhindi alikuwa pale NBC miaka ya Dingi zetu aliitwa S.Pira alipiga kazi hadi akastaafu mwenyewe kisha akaajiliwa bank ya DTB kama mkurugenzi wa kwanza... Wahindi huwa bright sana
 
Sio kweli, Wahindi Wanaandaa sana Watoto wao kuwa warithi.

Chukulia wewe ni Mfanya Biashara mkubwa je mtoto wako au watoto wako vyuoni wanasomea masomo yapi?

Mentality tu zetu za kuamini katika ajira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toooo late.... Mlisha chelewa sana, inahitajika elimu ya nguvu kuwaondoa kwanza mawazo ya utengemezi wa kuajiriwa....
 
Sasa wewe baba yako maskini unataka kujifananisha na mtoto wa Dewji? yaani hauna tofauti na Kigwanomics! Fukara ana muda wa kumuandaa mwanae a some nini? Usipojiongeza inakula kwako, labda akuandae kuja kuwa mpiga ramli

Mkuu jaribu kuwa positive katika maisha ni kweli wazazi wetu hawakutuandalia maisha lakini haimaanishi kwamba hatuwezi kuandaa maisha ya vizazi vyetu vijavyo

Kingwangala amekuwa akiongea vitu vya ukweli na msingi sana lakini kwa sababu tumejichagulia upande basi akileta hoja tunampinga hapana sio chukueni ya msingi yafanyieni kazi

Toooo late.... Mlisha chelewa sana, inahitajika elimu ya nguvu kuwaondoa kwanza mawazo ya utengemezi wa kuajiriwa....

Hapana we can start now na tukaleta mabadiliko

Sio wahindi wote ni matajiri....ni wachache sana wengine ni walala hoi sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Sawa wapo maskini pia hoja ya msingi ni kwamba unakiandaaje kizazi chako kukabiliana na changamoto za maisha
 
Poor and middle class people work for money while rich people work for them.

great thinker
 
Acha uongo serikali yetu inaajiri raia yeyote bila kujali race yake au rangi yake. Sema watanzania hao wenye asili ya asia au mabara mengine hawapendi sana hizi kazi ambazo za kiofisi na zinazofanana na ukarani tu. Nenda Muhimbili kuna daktari wa kihindi na wengineo kwa maana ukiachana na uhandisi au biashara au urubani hao jamaa hupenda udaktari. Wengi wao hupenda kujiajiri au kuajiriwa na biashara au kampuni za familia zao. Hawapendi kazi za serikali wanataka uhuru flani kama unavyojua utumishi wa umma ukitaka kwenda nje hadi uombe vibali n.k. Mbona Prof. Shivji na wengineo waliajiriwa na serikali? Did you do your home work to find out the truth about it or you just spat what came first in your mind without proof or evidence?
 
Mimi hunikalishi kwenye li crowd la watu wengi hvyo eti kisa natafta kazi. Hata kama ningekua sina hela....basi tu hunikalishi pale.

Like seriously bado sija fail life kiasi hicho. Kwa jinsi akili yangu navyoijua i can never do such a thing.
We utakua au ulikua mtoto wa kibosile ambaye pengine alikua fisadi, ivo umeanzia maisha kwenye harusi tu unapewa viwanja, mashamba, nyumba kama zawadi.
 
Sasa wewe baba yako maskini unataka kujifananisha na mtoto wa Dewji? yaani hauna tofauti na Kigwanomics! Fukara ana muda wa kumuandaa mwanae a some nini? Usipojiongeza inakula kwako, labda akuandae kuja kuwa mpiga ramli
Umenichekesha balaa!
 
Waombe hiyo kazi muanze kuwabagua na kuwanyanyapa na kuwahoji uzalendo wao na kuwaletea figisu figisu kibao kama Wallace karia TFF ?
 
Mjeremani nasikia alitupeleka vizuri katika mlengo wa kujitegemea, Aliyekuja kuharibu ni Muingereza baada ya kuwekwa chini yake, alianza kutufundisha ku-kremu....... sijui Civics means a greek word..................... According to newton............
 
Ukishaingiza mambo ya imani tu umeharibu! Twende kisayansi, Je IQ inatofautiana kutokana na jamii fulan!?
 
aseeee we unatema cheche,
SALUTE

*Akifa shekhe kazi ya Mungu*
*Akifa mlevi sababu ya Pombe*
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…