Usaili wa jana wa TRA kuna mtu aliniambia hajaona mtoto wa Kihindi pale, Unajua kwa nini?

Sisi waafrika ni wanaume mashine, tumezoea kuzaa na kufanya mapenzi ndio tunachojua. Unakuta Unazaa watoto wengi na wakati hata maisha yenyewe huna. Lazima Umasikini utuue tuuuuuuuu hakuna jinsi. Wenzetu wakizaa wanapanga bajeti ya mtoto, na wakati huku mtu anazaa na wakati hata pesa yenyewe ya kwenda hospital [emoji541] kujifungua ni ishu sana.
Yaani Africa [emoji288] ni upumbavu upumbavu tuuuuuuuu, ndio maana Donald Trump anatutukana laivu laivu.
 
Ukishaingiza mambo ya imani tu umeharibu! Twende kisayansi, Je IQ inatofautiana kutokana na jamii fulan!?
Ugali Mlenda na Ugali maharagwe.. , uwezi kuwa na IQ sawa na Dewji. Tunakula vyakula ambavyo havina msaada wowote katika Ubongo ndio uje uwe na maisha. Labda itokee ngekewa
 
Unazungumzia zilipendwa zamani.
hao doctors they hv to work there to get experience as intership then hawana progress
sio kweli kuwa hawataki kuajiriwa wanataka na wamejaribu na miaka ya nyuma walitolewa wote.
kina shivji wamerithiwa ndio batch la mwisho
wakati tunapata uhuru walikuwapi wengi tu polisi majaji jeshini pia
walikuwapo manispaa
leseni wizarani mpaka mawaziri walikuwapo.
lakino hayo yaliondoka na Mwalimu ....ambaye alikuja ma Africanasation policy ilowatoa watanzania hawa kidogo kidogo.
hivi hizi nafasi za kuteuliwa hakuna asie mwafrika ambaye anafaa ?
Na wapo wamesoma sana na ni adminstrators wazuri sana...uliwahi..hawakatai wakipewa nafasi...hawapewi
huko kwenye ajira za kawaida ndo kabisa hawapati. Wao kilicho baki ni kusaidiana tu . Kwenye community zao.
huku bara kuna ubaguzi huo usipinge. Hawaombi tena nafasi kwani wanajua matokeo.
zanzibar ipo tofauti wapo kila rangi serikalini na kenya they dont care so long una uwezo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikua naongelea ulivyomtaja Mungu! Naona umeandika gazeti refu sana ila zimefanyika tafiti nyingi tu zilizothibitisha kwamba kwa asilimia kubwa tu IQ ina uhusiano na genes, huo mfano wako huyo mtoto wa kimakonde kama ni mtoto kilaza hata aende wapi atabaki kuwa kilaza tu and vice versa is true! Labda mazingira ya wenzetu atatafutiwa fani ya watu wenye IQ ndogo nikimaanisha kipaji ila huku tungemlazimisha shule so kama ukoo au jamii ina IQ kubwa probability ya kuzaa watoto vipanga ni more than 50percent na ndio maana mnaambiwa mchunguze wanawake wa kuoa, kwa imani yako hii unaweza kuoa ukoo kilaza na wewe mfano ni kilaza ukategemea kutoa mtoto kipanga, labda uibiwe
 
Ukweli mtupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe nawe kwanza twambie ni percent ngapi ya wahindi wanaishi hapa Tanzania ukijua Hilo ndo urudi hapa tena.
 
kuajiriwa kupo kila nchi. hata India wapo watoza ushuru. Hawaombi hizi kazi kwasababu wanajua nafasi yao ya kupata ni ndogo sana, ila sio kwamba hawataki. kwa mfano wangeweza kujipenyeza si wangetumia hiyo fursa kusaidia biashara za ndugu zao na za marafiki na majirani.
 
Kweli hakuna vijana wa kiihindi, ila ughaibuni wameajiriwa kila sekta, mpaka kufagia na kuokota takataka mitaani!
Tukumbuke wahindi wako wachache sana, zao lao limejikita sana kwenye biashara, ni kweli wengi wako kwenye white collar jobs, ila hata weusi sisi nasi tuko huko pia, ila maendeleo yakishika hatamu, mtawaona kila sekta...
 
Huyu charii ni mburura sana..atuambie yeye aliandaliwa kuuza kuku??
Jamaa anaabudu sana wahindi, mbona anafanya biashara ya kufuga kuku ambayo wahindi wao hawafanyi, kama anawaiga kila kitu ?
 
Jamaa anaabudu sana wahindi, mbona anafanya biashara ya kufuga kuku ambayo wahindi wao hawafanyi, kama anawaiga kila kitu ?
Ndo mwisho wako wa kuwaza? Ni hatari sana pale ambapo uwezo wako wa kuwaza unapo fikia mwisho.

Sema hujaelewa kinacho zungumziwa hapa,
 
Hakuna Muhindi anaenda Chuo kusomea Education hahahahahaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna Muhindi anaenda Chuo kusomea Education hahahahahaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati nafanya BCom UDSM kulikuwa na muhindi mmoja ambaye aliomba admission ya degree ya education ili iwe rahisi kupata nafasi, lakini chuoni alichukua course zote za accounting na finance kama electives zinazotolewa na FCM (siku hizi UDBS), sasa hivi ni banker mkubwa sana.
 
yaani wanaubaguzi utafkiri hao weupe sio watz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…