Usaili wa kazi za Ubalozi wa Marekani hukuchua muda gani kuitwa?

Usaili wa kazi za Ubalozi wa Marekani hukuchua muda gani kuitwa?

PISHUKIFAME88

Member
Joined
Aug 9, 2022
Posts
7
Reaction score
0
Wakuu samahani,

Naomba kufahamu usahili wa kazi kwenye Ubalozi wa Marekani huwa inachukuwa muda gani mpaka kuitwa huko
 
Kuna colleague wangu aliombaga finance mwaka na ushee umepita walifanya na usaili wakamuita mwezi may now anakula maisha
 
We check email yako tu mara kwa mara, hawapigi simu hao, kila la kheri usisahau kuvaa barakoa na usiende na mizigo mingi huko utakapoitwa.
 
Nami Nataka Hizi Fursa nani anielekeze jinsi ya kuomba?
Mimi nlifanikiwa tengeneza profile au CV UN, ndo naweza kukuelezea. Nenda website ya UN, upande wa UN Careers, then kuna sehem ya kusign up INSPIRA, huko mambo mengine utafata jinsi unavyoelekezwa, jinsi utakavyokuwa unaendelea kujaza infos zako ndo CV inajitengeneza ila sasa uwe na muda wa kutosha haswa unaweza tumia ata siku tatu. Ukishatengeneza profile ili sasa uone kazi, kuna sehm ya kuangalia available posts, unaweza ukasort mwenyewe labda unataka kazi Tanzania, then kwa Tanzania ni Kigoma na Arusha I think, nenda hapo angalia kama kazi iliopo inakufaa au la, au Kigoma etc, kuna pia nchi nyingine zote ambazo zipo under UN na all available posts wanaweka ni wewe kuapply tu.
 
Back
Top Bottom