PISHUKIFAME88
Member
- Aug 9, 2022
- 7
- 0
Uliomba liniDah kuna nafasi niliomba pia sijui hata kama walishaita or not, hadi nimesahau
It's a month now, ilikua july hiviUliomba lini
Duuh ngoja tusubir tuoneIt's a month now, ilikua july hivi
Shida ni je ilichukua muda gani mpaka kuitwa kwenye usahiliKuna colleague wangu aliombaga finance mwaka na ushee umepita walifanya na usaili wakamuita mwezi may now anakula maisha
usaili nafikir baada ya miezi miwili ukiona kimya ujue hukuwa shortlistedShida ni je ilichukua muda gani mpaka kuitwa kwenye usahili
Mbona mimi walinipigia?We check email yako tu mara kwa mara, hawapigi simu hao, kila la kheri usisahau kuvaa barakoa na usiende na mizigo mingi huko utakapoitwa.
Hongera sana, kwa system yao ya uombaji na walivyotusisitiza enzi hizo, email ndio ilikuwa sanaMbona mimi walinipigia?
Kila sehemu na utaratibu wao, lakini hawa lazima ujisajili kwa maelezo zaidi ingia website yao utaona utaratibuNami Nataka Hizi Fursa nani anielekeze jinsi ya kuomba?
Mimi nlifanikiwa tengeneza profile au CV UN, ndo naweza kukuelezea. Nenda website ya UN, upande wa UN Careers, then kuna sehem ya kusign up INSPIRA, huko mambo mengine utafata jinsi unavyoelekezwa, jinsi utakavyokuwa unaendelea kujaza infos zako ndo CV inajitengeneza ila sasa uwe na muda wa kutosha haswa unaweza tumia ata siku tatu. Ukishatengeneza profile ili sasa uone kazi, kuna sehm ya kuangalia available posts, unaweza ukasort mwenyewe labda unataka kazi Tanzania, then kwa Tanzania ni Kigoma na Arusha I think, nenda hapo angalia kama kazi iliopo inakufaa au la, au Kigoma etc, kuna pia nchi nyingine zote ambazo zipo under UN na all available posts wanaweka ni wewe kuapply tu.Nami Nataka Hizi Fursa nani anielekeze jinsi ya kuomba?
Acha kuwapa mchecheto wenzio huwa wanatumia email tuMbona mimi walinipigia?