Usaili wa PCCB Dodoma umenikutanisha na Ex’s wangu kwa ufupi tu ukiona manyoya jua keshaliwa

Usaili wa PCCB Dodoma umenikutanisha na Ex’s wangu kwa ufupi tu ukiona manyoya jua keshaliwa

nyboma

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2021
Posts
2,308
Reaction score
7,366
Baada ya jana kumpokea stendi kuu ya Dodoma na kumlipia lodge, akanipa tunda maana tuna miaka miwili hatujaonana na huyu Mama E.

Asubuhi nikampeleka chuo cha Dodoma kwenye usaili, mchana nikamfuata nikampeleka Malaika Annex kula kuku wa kuchoma baadae nikampeleka room kwake akapumzike kidogo.

Jioni hii nimemfuata, tuko nae hapa Royal tunapata moja mbili na nyamanyama za kutosha.

Kwa kuwa kesho anaondoka kurudi kwa mme wake mkoa X, basi usiku wa leo nitamshughulikia kama kawaida, hakika Mama E kanawiri na amekuwa na utelezi wa kutosha hivyo nitapiga piga vya kutosha kabla hajaondoka rasmi katika mji mkuu wetu wa Dodoma.

Wito, kwa vijana ambao wameoa ni vyema kuwasindikiza saili wake zenu hasa wakija mikoa kama hii kufanya usaili, kwa ufupi viporo vinapashwa kama kawaida.
 
Baada ya jana kumpokea stendi kuu ya dodoma na kumlipia lodge, akanipa tunda maana tuna miaka miwili hatujaonana na huyu Mama E.

Asubuhi nikampeleka chuo cha dodoma kwenye usaili, mchana nikamfuata nikampeleka Malaika Annex kula kuku wa kuchoma baadae nikampeleka room kwake akapumzike kidogo.

Jioni hii nimemfuata, tuko nae hapa Royal tunapata moja mbili na nyamanyama za kutosha.

Kwa kuwa kesho anaondoka kurudi kwa mme wake mkoa X, basi usiku wa leo nitamshughulikia kama kawaida, hakika Mama E kanawiri na amekuwa na utelezi wa kutosha hivyo nitapiga piga vya kutosha kabla hajaondoka rasmi katika mji mkuu wetu wa dodoma.

Wito, kwa vijana ambao wameoa ni vyema kuwasindikiza saili wake zenu hasa wakija mikoa kama hii kufanya usaili, kwa ufupi vipiro vinapashwa kama kawaida.
Na Ukipata Ngoma urudi kuomba ushauri hapa
 
Back
Top Bottom