Usaili wa PCCB Dodoma umenikutanisha na Ex’s wangu kwa ufupi tu ukiona manyoya jua keshaliwa

Usaili wa PCCB Dodoma umenikutanisha na Ex’s wangu kwa ufupi tu ukiona manyoya jua keshaliwa

Baada ya jana kumpokea stendi kuu ya dodoma na kumlipia lodge, akanipa tunda maana tuna miaka miwili hatujaonana na huyu Mama E.

Asubuhi nikampeleka chuo cha dodoma kwenye usaili, mchana nikamfuata nikampeleka Malaika Annex kula kuku wa kuchoma baadae nikampeleka room kwake akapumzike kidogo.

Jioni hii nimemfuata, tuko nae hapa Royal tunapata moja mbili na nyamanyama za kutosha.

Kwa kuwa kesho anaondoka kurudi kwa mme wake mkoa X, basi usiku wa leo nitamshughulikia kama kawaida, hakika Mama E kanawiri na amekuwa na utelezi wa kutosha hivyo nitapiga piga vya kutosha kabla hajaondoka rasmi katika mji mkuu wetu wa dodoma.

Wito, kwa vijana ambao wameoa ni vyema kuwasindikiza saili wake zenu hasa wakija mikoa kama hii kufanya usaili, kwa ufupi vipiro vinapashwa kama kawaida
Nenda mkabadilishane virusi, ukiona demu mlipotezana na ghafla mnakutana anapanua basi ujue umeumia. Kimbia mpaka nyayo zipate pancha.
 
Baada ya jana kumpokea stendi kuu ya dodoma na kumlipia lodge, akanipa tunda maana tuna miaka miwili hatujaonana na huyu Mama E.

Asubuhi nikampeleka chuo cha dodoma kwenye usaili, mchana nikamfuata nikampeleka Malaika Annex kula kuku wa kuchoma baadae nikampeleka room kwake akapumzike kidogo.

Jioni hii nimemfuata, tuko nae hapa Royal tunapata moja mbili na nyamanyama za kutosha.

Kwa kuwa kesho anaondoka kurudi kwa mme wake mkoa X, basi usiku wa leo nitamshughulikia kama kawaida, hakika Mama E kanawiri na amekuwa na utelezi wa kutosha hivyo nitapiga piga vya kutosha kabla hajaondoka rasmi katika mji mkuu wetu wa dodoma.

Wito, kwa vijana ambao wameoa ni vyema kuwasindikiza saili wake zenu hasa wakija mikoa kama hii kufanya usaili, kwa ufupi vipiro vinapashwa kama kawaida.
Mirinda nyeusi itahusika kukutoa marinda wewe endelea kula matunda ya watu na kujisifu hadharani.... Ujue wake za watu wangapi wamekuja kwenye huo usaili na wamo humu JF wewe endelea ujinga hadi kuweka evidence mlipokuwa ....... Yakikuta utakuja na thread NIKIVYOTOLEWA MARINDA NA MME WA MAMA E BAADA YA KUGUNGUA NILIMLA KIPINDA CHA USAILI PCCB.. 😀😀

Over
 
Wanaume wametangaziwa msiba, kama nawaona watakavokuja kujiliza liza hapa 😁😁.....

Heaven Sent Habun amkeni mfariji wafiwa
Nashukuru wangu nilimpaki kwa shangazi yangu na amepokelewa na dogo toka stendi so hawezi fanya uhuni maana ana kiumbe kichanga 😅 kwa hili wamenikosa!

Niwape pole wafiwa wote, alamsiki!
 
Hasa unaenda kuzini na mke wa mtu eti unajitangaza, Kuna mambo ya kujisifia na kuna mengine ya kiboya tu.
 
Back
Top Bottom