Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio, tunapitaga kule jobu alimuona yesu na mke wakeNa wewe unatembea na mume wa mtu?
Nilivyoona umeandika "asubuhi nikampeleka chuo cha dodoma kufanya usahili" tu nikaona hii ni kamba. Usaili ulifanyika chuo cha dodoma?Baada ya jana kumpokea stendi kuu ya Dodoma na kumlipia lodge, akanipa tunda maana tuna miaka miwili hatujaonana na huyu Mama E.
Asubuhi nikampeleka chuo cha Dodoma kwenye usaili, mchana nikamfuata nikampeleka Malaika Annex kula kuku wa kuchoma baadae nikampeleka room kwake akapumzike kidogo.
Jioni hii nimemfuata, tuko nae hapa Royal tunapata moja mbili na nyamanyama za kutosha.
Kwa kuwa kesho anaondoka kurudi kwa mme wake mkoa X, basi usiku wa leo nitamshughulikia kama kawaida, hakika Mama E kanawiri na amekuwa na utelezi wa kutosha hivyo nitapiga piga vya kutosha kabla hajaondoka rasmi katika mji mkuu wetu wa Dodoma.
Wito, kwa vijana ambao wameoa ni vyema kuwasindikiza saili wake zenu hasa wakija mikoa kama hii kufanya usaili, kwa ufupi viporo vinapashwa kama kawaida.
Kizazi Cha hovyo kimeandika Mambo ya hovyo.Baada ya jana kumpokea stendi kuu ya Dodoma na kumlipia lodge, akanipa tunda maana tuna miaka miwili hatujaonana na huyu Mama E.
Asubuhi nikampeleka chuo cha Dodoma kwenye usaili, mchana nikamfuata nikampeleka Malaika Annex kula kuku wa kuchoma baadae nikampeleka room kwake akapumzike kidogo.
Jioni hii nimemfuata, tuko nae hapa Royal tunapata moja mbili na nyamanyama za kutosha.
Kwa kuwa kesho anaondoka kurudi kwa mme wake mkoa X, basi usiku wa leo nitamshughulikia kama kawaida, hakika Mama E kanawiri na amekuwa na utelezi wa kutosha hivyo nitapiga piga vya kutosha kabla hajaondoka rasmi katika mji mkuu wetu wa Dodoma.
Wito, kwa vijana ambao wameoa ni vyema kuwasindikiza saili wake zenu hasa wakija mikoa kama hii kufanya usaili, kwa ufupi viporo vinapashwa kama kawaida.
HIV kumbe ina ubaguzi, inachagua waume za watu 🙄.Hongera. Jitahidi upate mtoto naye, pia uwe unapima HIV mara kwa mara ...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Heaven Sent ambia vijana waongeze tents
wapewe viti, wapewe na mirinda....Hahaha Karma kumbe ina ubaguzi hivyo eeh? Kuna lorry linashusha tents na viti hapa
Haa Ndiyo Ukweli WenyeweMkikosa Ajira mnakuja lalama hapa Mungu hunioni
🙄 boy friend wangu nae anakuja kwa mkeo, mkeo akikupa nawe unaungana nasiIna ubaguzi flani hivi, mana wewe una sex na boyfriend wako, boyfriend wako ana mchepuko wake ambaye huyo mchepuko wake ana tembea na mume wa mtu, sasa mume wa watu ana mke wake halali, ambaye ana tembea na kijana ambaye ana HIV ..ambaa ameutoa kwa kua lover boy wa wanawake wengi ambapo ndimo ameupatia , hivyo huyo mke akisex na jamaa , mke ana hiv tayar, mumewe naye kama kawaida si anataka tendo la ndoa tena buree bila condom, anampa, hiv inamuingia mume, mume naye anaona mke mzigo hajishuhulishi, anaenda huku hiv ikiwa ndani yake, anaena kupoozwa na wewe , hatimaye hiv anaingia kwa maringo kwako. Good day.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
kumbe nawe unaweza kukupata make ulivonambia nkajua we haikuhusu ni sisi tu, tuwashangilie tu hakuna namna....hata tukikasirika haibadili kituAcha tu wote tunakua na mdudu tunaishi kwa matumaini..sasa nashangaa watu wakijitapa kwa kujipiga vifua kua ni wababe kutembea na wake za watu, na mnawashangilia kabisa
Kama wapi? Wakati mimi ni daraja la yeye kuingia kwenye payroll. Labda nikuulize kwa mfano akasaidiwa na akapata hiyo nafasi bado Karma itaendelea kunihukumu?Karma ya kutembea na mke wa mtu haiwezi kukuacha salama, kuna siku lazima ikamilishe safari yake , na mwisho wake hua mara nyingi ni mbaya au kifo cha kuuawawa
Wako pia umemuacha analiwa sio kuwa wa kwako ni special Sana. Naye anaye ex wake jamaniBaada ya jana kumpokea stendi kuu ya Dodoma na kumlipia lodge, akanipa tunda maana tuna miaka miwili hatujaonana na huyu Mama E.
Asubuhi nikampeleka chuo cha Dodoma kwenye usaili, mchana nikamfuata nikampeleka Malaika Annex kula kuku wa kuchoma baadae nikampeleka room kwake akapumzike kidogo.
Jioni hii nimemfuata, tuko nae hapa Royal tunapata moja mbili na nyamanyama za kutosha.
Kwa kuwa kesho anaondoka kurudi kwa mme wake mkoa X, basi usiku wa leo nitamshughulikia kama kawaida, hakika Mama E kanawiri na amekuwa na utelezi wa kutosha hivyo nitapiga piga vya kutosha kabla hajaondoka rasmi katika mji mkuu wetu wa Dodoma.
Wito, kwa vijana ambao wameoa ni vyema kuwasindikiza saili wake zenu hasa wakija mikoa kama hii kufanya usaili, kwa ufupi viporo vinapashwa kama kawaida.
Mkuu na ww ulikuwepo kwenye usaili?Nashukuru wangu nilimpaki kwa shangazi yangu na amepokelewa na dogo toka stendi so hawezi fanya uhuni maana ana kiumbe kichanga 😅 kwa hili wamenikosa!
Niwape pole wafiwa wote, alamsiki!
Kawaida tu kwa sie wahenga,maana hata mkeo alikuwa Dem wa mtu,hata usichana wake hukuutoa wewe bila shaka!!Baada ya jana kumpokea stendi kuu ya Dodoma na kumlipia lodge, akanipa tunda maana tuna miaka miwili hatujaonana na huyu Mama E.
Asubuhi nikampeleka chuo cha Dodoma kwenye usaili, mchana nikamfuata nikampeleka Malaika Annex kula kuku wa kuchoma baadae nikampeleka room kwake akapumzike kidogo.
Jioni hii nimemfuata, tuko nae hapa Royal tunapata moja mbili na nyamanyama za kutosha.
Kwa kuwa kesho anaondoka kurudi kwa mme wake mkoa X, basi usiku wa leo nitamshughulikia kama kawaida, hakika Mama E kanawiri na amekuwa na utelezi wa kutosha hivyo nitapiga piga vya kutosha kabla hajaondoka rasmi katika mji mkuu wetu wa Dodoma.
Wito, kwa vijana ambao wameoa ni vyema kuwasindikiza saili wake zenu hasa wakija mikoa kama hii kufanya usaili, kwa ufupi viporo vinapashwa kama kawaida.
Hahahahahah labda wako mkuu wangu hawezi fanya huo upupu! Sijamuokota Sinza😅Wanambwatogwa hivyo hivyo na watoto wachanga mkuu. Unakuta mbususu inasuguliwa huku juu maziwa yanaumuka na kumwaga maziwa tu.
Usijipe moyo mtoto mchanga atazuia mwanamke asiliwe.
Sikwenda mzeeMkuu na ww ulikuwepo kwenye usaili?
Ukiokoteza Bar huko ndio kawaida kukutana na kurubembe zinazouza mechi hata siku moja baada ya kutoka leba!Shauri yako ,wapo wengi tu.
Kuna kupasukaKeshakwambia ndomu anayo, we viiipi?
Baada ya jana kumpokea stendi kuu ya Dodoma na kumlipia lodge, akanipa tunda maana tuna miaka miwili hatujaonana na huyu Mama E.