Usaili wa PCCB Dodoma umenikutanisha na Ex’s wangu kwa ufupi tu ukiona manyoya jua keshaliwa

Nilivyoona umeandika "asubuhi nikampeleka chuo cha dodoma kufanya usahili" tu nikaona hii ni kamba. Usaili ulifanyika chuo cha dodoma?
 
Kizazi Cha hovyo kimeandika Mambo ya hovyo.
Kuna ulazima gani wa kuandika Mambo ya faragha hadharani??

Mtaacha kujirecord kweli kwa staili hii.
Halafu utambue kuwa unaweza kuhatarisha ndoa ya ex wako? Kuna watu wanajua kuunganisha dots.

Hilo Jambo ulilofanya sio geni Wala sio wa Kwanza ww. Kila mtu anafanya
 
🙄 boy friend wangu nae anakuja kwa mkeo, mkeo akikupa nawe unaungana nasi
 
Acha tu wote tunakua na mdudu tunaishi kwa matumaini..sasa nashangaa watu wakijitapa kwa kujipiga vifua kua ni wababe kutembea na wake za watu, na mnawashangilia kabisa
kumbe nawe unaweza kukupata make ulivonambia nkajua we haikuhusu ni sisi tu, tuwashangilie tu hakuna namna....hata tukikasirika haibadili kitu
 
Karma ya kutembea na mke wa mtu haiwezi kukuacha salama, kuna siku lazima ikamilishe safari yake , na mwisho wake hua mara nyingi ni mbaya au kifo cha kuuawawa
Kama wapi? Wakati mimi ni daraja la yeye kuingia kwenye payroll. Labda nikuulize kwa mfano akasaidiwa na akapata hiyo nafasi bado Karma itaendelea kunihukumu?
 
Wako pia umemuacha analiwa sio kuwa wa kwako ni special Sana. Naye anaye ex wake jamani
 
Kawaida tu kwa sie wahenga,maana hata mkeo alikuwa Dem wa mtu,hata usichana wake hukuutoa wewe bila shaka!!
Kama unaoa binti ambaye tayari usichana uliishatolewa,tegemea kupigiwa tu huko mbele ya safari
 
Wanambwatogwa hivyo hivyo na watoto wachanga mkuu. Unakuta mbususu inasuguliwa huku juu maziwa yanaumuka na kumwaga maziwa tu.

Usijipe moyo mtoto mchanga atazuia mwanamke asiliwe.
Hahahahahah labda wako mkuu wangu hawezi fanya huo upupu! Sijamuokota Sinza😅
 

Mwanaume kweli waweza kuona fahari kuhadithia haya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…