Usaili wa PCCB Dodoma umenikutanisha na Ex’s wangu kwa ufupi tu ukiona manyoya jua keshaliwa

Kugongewa si mpaka kuwe na usaili au safari ndefu ya nje ya mkoa...!!! Unagongewa hapo hapo huku upo karibu..!! Ni maamuzi tu ya mgongaji na mgongwaji..

Usikute wakati upo malaika na huyo mke wa mtu, huko ulikomuacha wako, wana nao wanachakata mbususu yake
 
Kwani huyu ni ? mtoa mada ni mzee au kijana?.
 
Peleka uvulana wako huko, kwa hiyo kufanya ngono ni jambo la kujisifu kweli? Tena kufanya na mke wa mtu ni jambo la kuja kututangazia? Yani dhambi ni ushujaa siku hizi?
 
Ipo siku mke wako atapigwa mbele na nyuma na X wake na utapata taarifa hiyo.
Naomba usisite kuja kuanzisha thread pia.
Karma exists.
 
kijana wa hovyo umepiga utelezi kiulaini. anyway Malaika annex na Royal zipo good sana
 
Tunaanzia hapa Mungu hadhiakiwi apandacho mtu ndicho atakachovuna, fungua msaafu tupe kifungu
Tena msiba wa kinyaki kabisa. Tukae karibu na Biblia zetu, tutawasaidia kurefer maandiko
 
Kuna wanaume washapata makasiriko wakati sio mke wao[emoji23][emoji23]
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…