Binafsi nilibahatika kuhudhuria interviews mbili za utumishi na zote nilifika oral na zote nikipata kazi,
What does employer need from you?
Mwajiri anataka employee afanye majukumu alioyatangaza kwenye tangazo kwa efficiency pia anataka employee mwenye qualifications na strengths kama alivyotangaza kwenye tangazo lake
what are they looking for?
Experience, strengths and opportunities from you.
How perfect you fit into their requirements
What are the common mistakes done by interviewee?
Preconditions:
Tunaamini experience, strengths and opportunities za candidate x will never be the same with candidate y, hivyo huwezi Kuna na the same experience, strengths and opportunities za google (candidate from Europe), the working environment is very different,
Pia tunaamini huwezi kusahau au kukariri your daily responsibilities and duties mfano huwezi muuliza fundi ujenzi how do you build the superstructure? Then akawa amesahau while ndio kazi anafanya Kila siku this will never happen na hapa ndio maaana oral interviews ikawepo kwa ajili ya to validate your working experience, strengths and opportunities
Haiwezekani fundi ujenzi aliyejenga daraja la mfugale from start to finish apanic au atoke jasho jingi au ashingwe kueleza au kujibu swali la how did you build mfugale fly over bridge? Never akishindwa huyo ni muongo he was not there au ajibu the point kama fundi aliyejenga Brooklyn bridge never, narudia never
Mistakes:
Kumeza kama vilivyo google na kutapika kama vilivyo,
kusahau your working experience, strengths and opportunities,
Low capacity to control your emotion and body
Uongo uliotukuka kwenye CV
what must be done to win all oral interview?
Jibu swali kama mfugale akiulizwa swali How did you build mfugale fly over bridge from start to finish?
Challenges Cha kujenga mfugale bridge haziwezi kufanana na challenges za kujenga ruvu bridge au rufiji bridge, fund haiwezi kuwa sawa, architecture diagrams haziwezi kuwa sawa, structural diagrams haziwezi kuwa sawa, human resources haziwezi kuwa sawa, financial resources capacity haziwezi kuwa sawa, financial resources capacity haziwezi kuwa sawa, inawezekana akakuomba umwambie umtajie challenges Tano ulizokutana nazo but wewe ulikutana na challenges mbili hivyo utamwambia in accordance with the project Ile nilikutana na challenges mbili tuuu
Be you, be mfugale who built the bridge and not fundi maiko who is lying
If you know lazima uwe na confidence so improve your confidence tunaamini mfugale hawezi kukosa confidence when asked about mfugale fly over bridge, never never never
Note: kusoma saana au kuwa na gpa nzuri na kuwa genius wa mafanikio ni njia mbili tofauti kabisa, chagua njia sahihi