Mungu kwangu ndio Kila kitu kwenye kila Hatua namtanguliza Mungu, nilisoma vya kutosha, kujiamini pia.
Nikaingia Written nikapiga freshy.. Just imagine Written zaidi ya watu 700+ Ila nikafanikiwa kuingia top 20.
Oral nilipiga fresh pia,, maswali yote nilijibu kwa kujiamini, ikafikia kipindi nasema hapa nasubiria barua yangu tu ya ajira na leo hii mambo ni safi.
Mungu ni Mwema wema, Oral yangu ya kwanza na imenipa kazi pia(One touch one goal), Narudia tena Mungu ni Mwema.
Vijana ni Marufuku kushindwa kujaribu, ni Marufuku kukata tamaa pia💪