Usaili wa Utumishi: Kipi kilikufanya ufaulu au ulikosea wapi?

Niliitwa oral ya Tutorial Assistant, nilikuwa na content nzuri na confidence stahiki,
Nilijibu maswali bila shaka yoyote.

Ila makosa nayoyakumbuka;
1) Nilifanya presentation nikiwa nimekaa kwenye kiti (kosa la kwanza),
2) Nilienda kuongea na msailiwa mwingine ambaye bado hajaingia kukandwa wakati mimi nimetoka kusailiwa muda huo (nahisi ni kosa la pili).
Ile kazi sikupata.

Nilipoitwa usaili wa pili, nikasahihisha makosa ya awali, na kisha nikapata kazi ya ukufunzi katika chuo cha elimu ya kati.
 
Ina maana ulirudi tena kwa wasailiwa wenzio.. Na unaamini kweli walikuona wakati unaongea nae huyo mwenzio .?
 
Ndio, nilirudi pale walipo wenzangu ili nichukue mawasiliano ya mmoja wetu kama ujuavyo harakati za wasaka mirija ya asali.

Yule sekretari anayeita watu kuingia kwenye chumba cha kukandwa aliniona, sasa sijui kama ni kigezo cha kutopata hiyo nafasi au laa.
 
Back
Top Bottom