Usaili wa Utumishi: Kipi kilikufanya ufaulu au ulikosea wapi?

Kwenye matokeo ya written interview kwny zile maksi nilikuwa watano au sita aliongoza alipata 90 aliofatia 70 na kitu kabla hatuingia kwenye inteview yeye ndo alikuwa kama kivutuio au talk of the town Cha ajabu hakupita

Jambo lingine nilichoona watu wengi hawana confidence ukiweza kuwa na confidence una pita maana nilishangaa watu wanaulizana utatumia lugha gani

Ukiingia interview na ukaulizwa swali unalifahamu kiundani libute haswa usijibu Kwa point za notes tu toa na mifano hai wewe uwe kama ndo unawafundisha au kuwaelezea jambo ilo.

Niliulizwa maswali sita Kuna swali moja nilikosea point muuliza swali aliona nimechaganya madesa likarudiwa ikabidii niulizwe tena nikalijibu

Na Kila swali ilikuwa litaka point 5 so nilichokuwa nafanya nataja point na mifano hai mitano ya kueendana na izo point. Hii nahisi ilinisaidia kuulizwa swali mara ya pili nilipokosea.

Baada hapo nikambiwa niwahoji nao swali nikawambia wanipe maoni ya jinsi nilivyojibu Kuna jamaa akasema iyo ni part ya interview hawawezi nijibu.

Yule mwenyekiti wao wa panel alikuwa mmama akaniambia "You have a bright future ahead"

Baada ya kutoka nilijaribu kuwahoji wenzangu kama walipewa comment yoyote na panel wakasema hamna nikajua tu nishatoboa
 
Ulitisha sana mkuu.
 
Hizo ni kanuni za psrs 2021

Screenshot_2022-03-13-00-57-29.png

Screenshot_2022-03-13-00-59-00.png
 
Mkuu umetoa madini sensitive sana Mungu akubariki kwa kutokuwa mchoyo.
 
Back
Top Bottom