Unaweza kuingia chaka kwa ku google be careful.Sikiliza vizuri swali linataka ujieleze vitu gani.Umeambiwa tupe historia ya maisha yako ikiwa ni pamoja na shule na uzoefu wa fani.Unasema mimi ni highly motivated person,organised and I hold bachelors degree.After completed bachelor( broken eng hiyo) am just at home.Thank you.Haa unataka marks hapo?? Hapo umefanya makosa yafuatayo:
1.Nani amekuuliza wewe una caliber zipi?
2.Yaani ulivyozaliwa tu ukaenda kusoma bachelor, huko kwingine ulikopita hakuhusiki na historia ya shule?
3.Hlf uko nyumbani tu umekaa! Hufanyi hata vishughuli vidogo vidogo...umekaa tu?
Hivyo usikariri google sikiliza swali