Mwamba1961
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 626
- 409
Pole mzee, ipo siku
Naumia sana Hadi Leo hii sipo kwenye kanzidata, Ila hebu nisubiri sajili zijazo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naumia sana Hadi Leo hii sipo kwenye kanzidata, Ila hebu nisubiri sajili zijazo
Pole mzee, ipo siku
Duties,Hvyo yaani.. mkuu kama ushawahi kufanya Interview ya Oral utumishi nipe maswali common mbali na taaluma yako . Yaan Yale uliyoona kuwa mtu wa kada yoyote anaweza kuulizwa kwenye Oral
Wengi humu watakudanganya mara confidence mara kufahamu mambo,mara language,mara kujibu maswali vizuri.
Nakuhakikishia Leo ili ufahamu interview za written na Oral Utumishi,ni game of chance namanisha ni bahati nasibu na hamna chochote,watainiwa ni wengi hamna mtu mwenye muda huo wa kuanza kuangali sijui huyu alijibu vizuri au laa na kama una ndugu Serikali mkubwa utapata kazi mapema sana.
Nipo huku ninafahamu ninachokisema,na kabla ya kufika huku kuna rafiki zangu wengi sana uwezo wao ulikuwa mdogo na walipata ajira na sehemu nyeti.Nimekuja kufahamu haya baada ya kuingia huku.
Anayepinga aje na fact.

Uko sawaWengi humu watakudanganya mara confidence mara kufahamu mambo,mara language,mara kujibu maswali vizuri.
Nakuhakikishia Leo ili ufahamu interview za written na Oral Utumishi,ni game of chance namanisha ni bahati nasibu na hamna chochote,watainiwa ni wengi hamna mtu mwenye muda huo wa kuanza kuangali sijui huyu alijibu vizuri au laa na kama una ndugu Serikali mkubwa utapata kazi mapema sana.
Nipo huku ninafahamu ninachokisema,na kabla ya kufika huku kuna rafiki zangu wengi sana uwezo wao ulikuwa mdogo na walipata ajira na sehemu nyeti.Nimekuja kufahamu haya baada ya kuingia huku.
Anayepinga aje na fact.
Hapa sawaDuties,
Character of public servant
Bora iwe hivyo ili iwe rahisi sisi tusiojua ung'eng'e. Ila sometimes nao wanaangalia muda.. just imagine Kila candidate alete broken zake pale c watakesha jamani..!!!Well said mkuu,
Kwanza niseme tu mimi ni mmoja wa niliefanikiwa kupita katika interview na kupata ajira.
Ila frankly speaking sijawahi kukutana na interview mbovu kama ya sekretarieti ya ajira.
1. Hawana muda kukupapasa kujua ulichonacho kichwani kama wafanyavyo private sector.
2. Kama umekariri vema na maswali yakatoka yale uliyopitia basi umetoboa.
3. Hawataki ueleze what u know it’s all abt mention. Nakumbuka nilitaka kueleza kitu in details yule interviewer akaniambia just mention.
4. Nature ya maswali sio yale ya kuadd value to company. Mengi ni direct to your career. Usijisumbue kwenda YouTube kutafuta skills za kujibu interview za sekretarieti ya ajira utapoteza muda wako just komaa na madesa yako.
Sekretarieti ya ajira ni ngumu sana kuja kupata wale smart candidates kwa nature ya interview zao haswa kwenye upande wa mahojiano.
So, I second you mkuu kutoboa kwenye usaili wa sekretarieti ya ajira it’s a game of chance inategemea madesa yako uliyopitia
Kuna mtu mmoja hiyo njia ndiyo iliyomfanya apate confidence na kufaulu usaili finally akapata kazi...Nyoya la kuku mweusi, Kitambaa cheusi chukua uzi Mwekundu zungushia ndani ya hicho kitambaa weka mfukoni kisha nenda Interview. Hii ndiyo siri yangu kutoboa
Huu ndio ukweli. Japo NI mchunguWengi humu watakudanganya mara confidence mara kufahamu mambo,mara language,mara kujibu maswali vizuri.
Nakuhakikishia Leo ili ufahamu interview za written na Oral Utumishi,ni game of chance namanisha ni bahati nasibu na hamna chochote,watainiwa ni wengi hamna mtu mwenye muda huo wa kuanza kuangali sijui huyu alijibu vizuri au laa na kama una ndugu Serikali mkubwa utapata kazi mapema sana.
Nipo huku ninafahamu ninachokisema,na kabla ya kufika huku kuna rafiki zangu wengi sana uwezo wao ulikuwa mdogo na walipata ajira na sehemu nyeti.Nimekuja kufahamu haya baada ya kuingia huku.
Anayepinga aje na fact.
Hahahaah 100% zimefikaje mkuu hebu nipe dondoo MuhimuMm nimefikisha 100% lakin bado kazi sijapata. Kaz iendeleee
Ni Siri ya watu wengi Sana kula mema ya nchiUnaijua kanzidata? Ungejua usingeshangaa kwanini nafasi moja wafanya usaili wengi.Wala hutakiwi kuogopa bali kujitosa
Siri ni nini adi kufikisha izo asilimia yangu imekwama kabisa below 70%Yangu inasoma at 95%
Umeeleza vzur kabisa mkuu na huu ndio ukweliWell said mkuu,
Kwanza niseme tu mimi ni mmoja wa niliefanikiwa kupita katika interview na kupata ajira.
Ila frankly speaking sijawahi kukutana na interview mbovu kama ya sekretarieti ya ajira.
1. Hawana muda kukupapasa kujua ulichonacho kichwani kama wafanyavyo private sector.
2. Kama umekariri vema na maswali yakatoka yale uliyopitia basi umetoboa.
3. Hawataki ueleze what u know it’s all abt mention. Nakumbuka nilitaka kueleza kitu in details yule interviewer akaniambia just mention.
4. Nature ya maswali sio yale ya kuadd value to company. Mengi ni direct to your career. Usijisumbue kwenda YouTube kutafuta skills za kujibu interview za sekretarieti ya ajira utapoteza muda wako just komaa na madesa yako.
Sekretarieti ya ajira ni ngumu sana kuja kupata wale smart candidates kwa nature ya interview zao haswa kwenye upande wa mahojiano.
So, I second you mkuu kutoboa kwenye usaili wa sekretarieti ya ajira it’s a game of chance inategemea madesa yako uliyopitia
Halafu umechill tu mkuu, hautupi miongozo ya kufaulukilichonifanya nikafaulu ni maandalizi bora , confidenc , body language, active listening kikubwa zaidi kuomba mungu sana
@wizy hizi infor zilitupita wapi?Nyuzi bora kabisa kwa upande ningekuwa na uwezo ningeipandisha mawinguni.
Now upande wangu.....
Niliingia interview ya oral nikaulizwa maswali matano 5 Nikajibu yote kwa Confidence Kubwa mno ila ukweli swali moja kati ya hayo ndio nilijua jibu lake....Mengine ilikuwa Bla bla in English with 100% Confidence...
Ila Mpk now niko nakula utawala na Per diem every week
AiseeNimewai kwenda interview Yale Tanga tanesco aliyekuwa ananiuliza maswal kingereza ajui na yey vzr Kam mm tu
Nikaona huyu kingereza chake Ni fake Kaz nakozaje ilaa badae s unajuwa mamb ya tanesco wakamuweka mtot wa manager
Kwa hiyo kwa sasa unaogelea kwenye pipa la Asali?Kwenye matokeo ya written interview kwny zile maksi nilikuwa watano au sita aliongoza alipata 90 aliofatia 70 na kitu kabla hatuingia kwenye inteview yeye ndo alikuwa kama kivutuio au talk of the town Cha ajabu hakupita
Jambo lingine nilichoona watu wengi hawana confidence ukiweza kuwa na confidence una pita maana nilishangaa watu wanaulizana utatumia lugha gani
Ukiingia interview na ukaulizwa swali unalifahamu kiundani libute haswa usijibu Kwa point za notes tu toa na mifano hai wewe uwe kama ndo unawafundisha au kuwaelezea jambo ilo.
Niliulizwa maswali sita Kuna swali moja nilikosea point muuliza swali aliona nimechaganya madesa likarudiwa ikabidii niulizwe tena nikalijibu
Na Kila swali ilikuwa litaka point 5 so nilichokuwa nafanya nataja point na mifano hai mitano ya kueendana na izo point. Hii nahisi ilinisaidia kuulizwa swali mara ya pili nilipokosea.
Baada hapo nikambiwa niwahoji nao swali nikawambia wanipe maoni ya jinsi nilivyojibu Kuna jamaa akasema iyo ni part ya interview hawawezi nijibu.
Yule mwenyekiti wao wa panel alikuwa mmama akaniambia "You have a bright future ahead"
Baada ya kutoka nilijaribu kuwahoji wenzangu kama walipewa comment yoyote na panel wakasema hamna nikajua tu nishatoboa