Usaili wa Utumishi: Kipi kilikufanya ufaulu au ulikosea wapi?

Usaili wa Utumishi: Kipi kilikufanya ufaulu au ulikosea wapi?

Cha kwanza ni mavazi, yale niliyopanga kuyavaa yalipata changamoto afu kesho ndio naamkia kwenye interview, cha pili ni kwenye kueleza uzoefu wangu, niliulizwa sasa hivi unafanya nini?

nikajibu nafanya internship bila kutaja historia ya kazi nilizofanya before na nilipo sasa wakati nipo kwenye kampuni kubwa tu.

niligunduaje?

maswali mengi niliyoulizwa nilijibu vizuri tu ukiacha machache ambayo kuna namna nilijibu kawaida ( baada ya kutoka niliteta na watahiniwa wenzangu nikarelate na nilivyojibu nilikuwa sahihi sehemu nyingi nao walikiri) ila kwenye kuelezea uzoefu wa kazi wenzangu walidadavua vizuri sana na majukumu wanayofanya ila mimi hata kampuni sikutaja nikiamini nimeandika kwenye application letter

hapo ndipo nilipoyumba

NB: wale walioelezea experience yao vyema na ujuzi wao kazini watatu walichukuliwa, wawili waliobaki katika nafasi zile 5 zilizotangazwa, hatukuwa kwenye kundi moja so sikujua walijibu nini.

Cha ziada ukiitwa kwenye interview yoyote ukaulizwa skills zako usijivunge elezea na toa na mifano kabisa, sio lazima uwe na uzoefu wa miaka 100 hata kama ni mmoja tu ukifafanua vizuri utazingatiwa tu.
hivi kuna uwezekano wowote kama una experience flan na kazi haijahitaji hyo experience hasa hizi za utumishi na ukapewa kipaumbele
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhhh watu wapo kimya jobless hathaminiki kabisa
Kumbe hakuna undugu kwenye pipa la Asali[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Shombe la kisomali alikua analilia ajira za kilimo na sheria.

Mpaka nikashindwa kumuelewa kua jamaa alikua kada gani.

Zaidi ya miezi 4 sasa simuoni jamvini,sijui itakua kashalamba asali.

All in all thread nzuri sana hii kwa kuanzia maandalizi ya oral.
Amebadili ID na hiyo Id siioni mara kwa mara humu jukwaani
 
Nyoya la kuku mweusi, Kitambaa cheusi chukua uzi Mwekundu zungushia ndani ya hicho kitambaa weka mfukoni kisha nenda Interview. Hii ndiyo siri yangu kutoboa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]asante kwa kuniondoa stress asee
 
Back
Top Bottom