Usaili wa Utumishi: Kipi kilikufanya ufaulu au ulikosea wapi?

Usaili wa Utumishi: Kipi kilikufanya ufaulu au ulikosea wapi?

Kwangu jambo gumu kwenye interview ni kuchoma nauli, nitoke huku umakondeni hadi Dodoma, alaf nafasi ni moja huku wanaofanyiwa interview wanakaribia mia, basi hapo nakata tamaa kabisa hata kuomba kazi yenyewe
Kumbe uliwahi kukomenti hapa na hausemi, huu uzi ungekuwa mbali sana kama tungeuchangamsha maana maudhui yake ndio haya tuliyokuwa tunayataka
 
Jamaa hayupo tena kwenye uzi wetu wa ma jobless huenda yupo kwenye grid ya taifa ya kulamba asali.
Wengi waliokomenti humu isipokuwa Ahmet watakuwa wanaogelea kwenye Stigla joji ya Asali, ndio maana hawakurudi kuendeleza uzi.

Nimemuona jamaa aliyekuwa anaitwa Shombe la Kisomali, aliwahi kukomenti humu, mwisho wa siku alibadili ID na kutoweka.

Huu uzi ulikuwa mzuri sana ila ulikosa wachangiaji baada ya wahusika wengi kulamba Asali
 
Huu uzi ungesaidia sana watu kama ungeendelezwa aseeh
 
Wengi waliokomenti humu isipokuwa Ahmet watakuwa wanaogelea kwenye Stigla joji ya Asali, ndio maana hawakurudi kuendeleza uzi.

Nimemuona jamaa aliyekuwa anaitwa Shombe la Kisomali, aliwahi kukomenti humu, mwisho wa siku alibadili ID na kutoweka.

Huu uzi ulikuwa mzuri sana ila ulikosa wachangiaji baada ya wahusika wengi kulamba Asali
Shombe la kisomali alikua analilia ajira za kilimo na sheria.

Mpaka nikashindwa kumuelewa kua jamaa alikua kada gani.

Zaidi ya miezi 4 sasa simuoni jamvini,sijui itakua kashalamba asali.

All in all thread nzuri sana hii kwa kuanzia maandalizi ya oral.
 
Cha kwanza ni mavazi, yale niliyopanga kuyavaa yalipata changamoto afu kesho ndio naamkia kwenye interview, cha pili ni kwenye kueleza uzoefu wangu, niliulizwa sasa hivi unafanya nini?

nikajibu nafanya internship bila kutaja historia ya kazi nilizofanya before na nilipo sasa wakati nipo kwenye kampuni kubwa tu.

niligunduaje?

maswali mengi niliyoulizwa nilijibu vizuri tu ukiacha machache ambayo kuna namna nilijibu kawaida ( baada ya kutoka niliteta na watahiniwa wenzangu nikarelate na nilivyojibu nilikuwa sahihi sehemu nyingi nao walikiri) ila kwenye kuelezea uzoefu wa kazi wenzangu walidadavua vizuri sana na majukumu wanayofanya ila mimi hata kampuni sikutaja nikiamini nimeandika kwenye application letter

hapo ndipo nilipoyumba

NB: wale walioelezea experience yao vyema na ujuzi wao kazini watatu walichukuliwa, wawili waliobaki katika nafasi zile 5 zilizotangazwa, hatukuwa kwenye kundi moja so sikujua walijibu nini.

Cha ziada ukiitwa kwenye interview yoyote ukaulizwa skills zako usijivunge elezea na toa na mifano kabisa, sio lazima uwe na uzoefu wa miaka 100 hata kama ni mmoja tu ukifafanua vizuri utazingatiwa tu.
 
Back
Top Bottom