Habari
Nini kilikusaidia kufaulu usaili wa ana kwa ana (oral) au ulikosea wapi?
Naomba tushare expirience wakuu.
Ilikua mwez WA9 mwishoni Dar, DUCE asubuhi niliwahi mapemaa kufanya usahili TAASISI YA MOYO YA KIKWETE "JKCI"
Basi tukapewa maelekezo Fulani hivi, me ni mtaalam wa MAABARA so tukaambiwa lab tufanya written mwishoni,
Mda ulipowadia tupanga mstari Kwa ajil ya kukaguliwa vyeti ikiwemo leseni, pamoja na kitambulisho.
Nlipogikiwa akakagua cheti vipo safi kitambulisho Cha mpiga kura nkawa nimesahau hom na nlitoka kwetu KAHAMA,
Baas nkambiwa nikae pembeni kidg wenye sifa kama yangu tulikua weng kama 17 hiv, wengne hawana cheti Cha kizaliwa.
Tukaamdika majina yetu na sababu zilizofanya tusifanye mtihani,
Msimamizi mkuu hakutupa nafasi hata ya kujieleza mm nlibaki Hadi mwisho kusubir kama ntapew nafasi Ile ya kufanya pepa, awaaapi .
Aliniambia kua SI pekeako tu ulotika mbali na mtihani huanzia hatua hzo, nilijieleza sana hakunielewa,
Mhhhh iliniuma saan kuchoma nauli yangu toka KAHAMA had dar alafu nirud niendelee na ishu zangu na ilikua ndo Interview ya kwanza ya Ajira portal.
Kwa sasa Sina mood na hizo Saili mana naona kama ni michongo tu na wanakuja na visababu vdogovdgo Ili kupunguza idadi na hufanya KAZI kwa hisia,
Real example nikwamba msimamizi wakati anatupiga Burn turudi hom, mdada mmoja akamuuliza mbona pindi Pharmacy wanafanya usaili mbona aliwaruhusu watu waliokosa vitambulisho na Card za kupigia kura. Msimamizi akajibu "' Tusimfundishe kazii'"
PORTAL WAWE NA UBINADUMU NA WASIFANYE KAZI KWA HISIA