halahala watu wasije wakakufanya lolmodo😄😄😄Niligoma kujibu maswali mawili ya oral out of five questions.. Niligoma katakataa walinishawishi sana nijibu nikawaambia siwezi kujibu nisichokijua nitakuwa nimeongopa tu kwann niwadanganye Sasa.
Lilikuwa tukio gani?Kuna tukio nilikutana nalo katika oral, nimepata shauku ya kufaham composition ya panel hawa watu.
Hongera mkuu, huwa tunajifunza kutokana na makosaNiliitwa oral ya Tutorial Assistant, nilikuwa na content nzuri na confidence stahiki,
Nilijibu maswali bila shaka yoyote.
Ila makosa nayoyakumbuka;
1) Nilifanya presentation nikiwa nimekaa kwenye kiti (kosa la kwanza),
2) Nilienda kuongea na msailiwa mwingine ambaye bado hajaingia kukandwa wakati mimi nimetoka kusailiwa muda huo (nahisi ni kosa la pili).
Ile kazi sikupata.
Nilipoitwa usaili wa pili, nikasahihisha makosa ya awali, na kisha nikapata kazi ya ukufunzi katika chuo cha elimu ya kati.
Sisi tulikuwa tunasindikizwa hadi tuondoke ndipo aitwe mwingine.Ndio, nilirudi pale walipo wenzangu ili nichukue mawasiliano ya mmoja wetu kama ujuavyo harakati za wasaka mirija ya asali.
Yule sekretari anayeita watu kuingia kwenye chumba cha kukandwa aliniona, sasa sijui kama ni kigezo cha kutopata hiyo nafasi au laa.
Mkuu nazani kwenye Oral licha ya kuangalia ujibuji wako wanaangalia pia jinsi unavojibu, unakijua unachojibu ama unakamilisha maswali tu. Kuna taaluma hazipaswi mtu kuwa muongo kwenye Oral, mfano watu wa manunuzi na ugavi n.khalahala watu wasije wakakufanya lolmodo[emoji1][emoji1][emoji1]
Mkuu, hivi bado siku ngapi kufika tarehe ya mrija kwa uzoefu wa taasisi za umma?Sisi tulikuwa tunasindikizwa hadi tuondoke ndipo aitwe mwingine.
Nilikuwa nishatoka kwenye panel nikawa napanga vyeti vyangu na kuviweka kwenye begi, Sekretari akanisubiri akaniambia fanya haraka, na mimi nikamwambia huku nikitabasamu "Ili niwapishe wengine..." hakunijibu, mimi nikaondoka na yeye kaenda kuita mtu mwingine
Mwanzo huwa ni mgumu mkuu, kwahiyo matarajio tuyaweke kwa muda angalau wa Mwezi na nusu au kuendelea tangu ajira kuanzaMkuu, hivi bado siku ngapi kufika tarehe ya mrija kwa uzoefu wa taasisi za umma?
Maana vijiwe vyetu vya umachinga vimesimama kwa muda, sasa hivi macho yote kwenye salary tu!!!
unafikiri utumishi wanazingatia mambo gani zaidi.Mungu kwangu ndio Kila kitu kwenye kila Hatua namtanguliza Mungu, nilisoma vya kutosha, kujiamini pia.
Nikaingia Written nikapiga freshy.. Just imagine Written zaidi ya watu 700+ Ila nikafanikiwa kuingia top 20.
Oral nilipiga fresh pia,, maswali yote nilijibu kwa kujiamini, ikafikia kipindi nasema hapa nasubiria barua yangu tu ya ajira na leo hii mambo ni safi.
Mungu ni Mwema wema, Oral yangu ya kwanza na imenipa kazi pia(One touch one goal), Narudia tena Mungu ni Mwema.
Vijana ni Marufuku kushindwa kujaribu, ni Marufuku kukata tamaa pia💪
Kupata kazi ni majaaliwa ya mungu unaweza jibu vzuri maswali na kama sio yako bado utakosa ni kuendelea kuomna mungu na wakati wake ni wakat sahihi ukifika ukigusa imoo. Jamaa first katusua af kuna wengne hiyo oral ya tatu bado kakosa. Ukifika oral ni kumuachia mungu hakuna ujanja wako pale zaidi ya mtoa ridhiki.unafikiri utumishi wanazingatia mambo gani zaidi.
Je kujibu maswali yote kwa usahihi ni guarantee
Jitihada muhimu, ninachokusudia mbinu za kupambana na interview ukisema ivyo tusingekuwa tunaenda dodoma kufanya unterview ili ifike wakati wa mungu au ukipewa pepa usiandike kitu.Kupata kazi ni majaaliwa ya mungu unaweza jibu vzuri maswali na kama sio yako bado utakosa ni kuendelea kuomna mungu na wakati wake ni wakat sahihi ukifika ukigusa imoo. Jamaa first katusua af kuna wengne hiyo oral ya tatu bado kakosa. Ukifika oral ni kumuachia mungu hakuna ujanja wako pale zaidi ya mtoa ridhiki.
Nami nilipiga nao story nilikuwa very calm.[emoji1787]sio lazima uniamini.
me nilikuwa napiga nao story easy tu waliokuwa wananisaili. Na vicheko vilikuwepo pia. Walikuwa Sita kati Yao wanne walipashiriki hii dialogue ya kunishawishi niwajibu , jibu langu lilikuwa lile sijui na siwezi kudanganya. Nilijibu matatu niliyoyajua ipasavyo.
Sijasema usifanye maandalizi wewe haujanielewaJitihada muhimu, ninachokusudia mbinu za kupambana na interview ukisema ivyo tusingekuwa tunaenda dodoma kufanya unterview ili ifike wakati wa mungu au ukipewa pepa usiandike kitu.
Sikukrashi lkn jitihada kwanza alafu tunamuachia mwenyezimungu.
Sawasawa nimekuelewa sponsa.Sijasema usifanye maandalizi wewe haujanielewa
Unazungushiaje!? Awe mweusi kabisa..Nyoya la kuku mweusi, Kitambaa cheusi chukua uzi Mwekundu zungushia ndani ya hicho kitambaa weka mfukoni kisha nenda Interview. Hii ndiyo siri yangu kutoboa
Haya mambo mimi siaminigi kabisaNyoya la kuku mweusi, Kitambaa cheusi chukua uzi Mwekundu zungushia ndani ya hicho kitambaa weka mfukoni kisha nenda Interview. Hii ndiyo siri yangu kutoboa
Tells us about yourself.....swali la mtego[emoji16][emoji23][emoji23]