SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,919
Mbona Mo Farrah anawakimbiza Watu na hatafutwi?
Same with David Rudisha, etc
Same with David Rudisha, etc
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usain is a brand right now.Mbona Mo Farrah anawakimbiza Watu na hatafutwi?
Same with David Rudisha, etc
Spidi ya mwendo kasi.Mtoto kazimika na spidi
Usain is a brand right now.
Hahahahaha na ukiangalia vizur unaweza kuhisi ni changudoa flani hivi jaman usain bolt pole baba ndo walimwengu walivyoeti mwanafunzi
tizama picha ya juu yaani macho ya kilevi kabisa
kwa hizo comparison zako tuishie tu hapa.So is Mo Farrah
Du nimecheka mpaka nimepaliwa!!Sasa anamuachaje mtoto kama huyo, shetani pia atamcheka na kumshangaa
pole mkuuDu nimecheka mpaka nimepaliwa!!
mkuu ule wimbo unajua vizuri?unazijua vyema lyrics zake? fanya kuzisoma Vizuri utaeuelewaSorry acon alitunga sababu ya wizi wa magari kuomba msamaha jamii. jamaa kabla hajawa mwanamziki alikua mwizi wa magari alietukuka.
Huyo ni mwanafunzi au barmaid..kha..!
.....na kashamaliza mapakti karibu yote ya nyembe dukani kwa mpemba.20 yrs jitu zima kabisa