Usain Bolt aingia kwenye kashfa ya picha za mahaba na mwanafunzi

Usain Bolt aingia kwenye kashfa ya picha za mahaba na mwanafunzi

Mbona Mo Farrah anawakimbiza Watu na hatafutwi?
Same with David Rudisha, etc
 
Hakuna kashfa hapo, labda kama alipiga show alafu wkt wa kulipa akaondoka na 120
 
20 yrs... huyo ni mtoto..? huyu ni mwenyewe kabisaa unakula hadi maini..!!
 
Sasa anamuachaje mtoto kama huyo, shetani pia atamcheka na kumshangaa
 
Sorry acon alitunga sababu ya wizi wa magari kuomba msamaha jamii. jamaa kabla hajawa mwanamziki alikua mwizi wa magari alietukuka.
mkuu ule wimbo unajua vizuri?unazijua vyema lyrics zake? fanya kuzisoma Vizuri utaeuelewa
 
Huyo ni mwanafunzi au barmaid..kha..!
1471973204552.jpg
 
Back
Top Bottom