Good Neighbour
JF-Expert Member
- Jul 12, 2017
- 942
- 897
Mi ni mmoja kati ya mashabiki wakubwa sana wa usain bolt,he is swayed by Fame.apumzike sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushawahi kutenda wema hadi ukakosa nguvu za kwenda zako [emoji3][emoji3][emoji3]Tundu Lissu, Mbowe, Lipumba, Zitto, Lowassa... nani mwingine ambaye sijamtaja... Oh kumbe kuna kina Pengo, Malasusa...
Wengine tena... Magonjwa Mtambuka, Asprin.... taja wote uwajuao hakuna atakayebaki mshindi. Wote tutalazwa chini ya tani saba ya udongo hata kama tuna mamlaka gani
Cha msingi tenda wema uende zako...
9.54 sec
Nani atayekuja kuivunja hii???
= Athlete
Kingereza chako kibovu kinahitaji ukarabati.
Yaani Hadi hapa home nilisema wakanibishia,Leo Nina waambia wamebaki tu duh!!!Unakuaga mtabili wakat mwing,... Ur always right,
Yaani Hadi hapa home nilisema wakanibishia,Leo Nina waambia wamebaki tu duh!!!
Not alwaysUr always right,
Not always
= Athlete
Kingereza chako kibovu kinahitaji ukarabati.
Mkuu, i have seen many of your posts here on JF, i doubt your are Tanzanian citizen. Your allegiance, your inclination, your support is always with Arabs people, terrorists and people who support extremely version of Islam.
Sometimes you pretend to be good but that is your cover. Why are you here? i know the answer:- to ferment and increase terrorism and division in the country, hopeful the security services will be smart enough and take care of you and people like you.
Muda wote we shali tu, itakua huna mume weweKwanza usiniite "Mkuu", uliona kuna neno "mkuu" katika ID yangu? Ni ujinga kumuita binaadam mwenzio "mkuu" kwa kuwa "mkuu" ni mmoja tu, aliyeumba mbingu na ardhi. Full stop.
Halafu, povu lote linakutoka kwa kuwa nimekufundisha ulipokosea?
Fahamu kuwa Kingereza chako kibovu, ni heri uandike Kiswahili tu. Mazoezi ya Kingereza kafanye na walimu wako shuleni kwako uliposomea ujinga.
Yote niliyokuwekea rangi ni makosa.
Usiwe punguani, jivunie lugha yako ya Taifa, Kingereza hukijuwi.
Anza na hilo kwanza.
Muda wote we shali tu, itakua huna mume wewe
"mwanaume mashine"
Huna akili!= shari
Mkifundishwa ni shari? Nadhani hata shule walimu wakikufundisha wewe unaona ni shari tu!
Mume nnae, wewe una mume?
Punguani wahed.
Wewe unazo zako, zangu nisizonazo zinakuuma nini?Huna akili!
"mwanaume mashine"
Fill your boots.
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Hata Tundu Lisu, ingawa unakwepa kumtaja.
I just took your teachers shoes and filled them. Can't you see?
Hiyo sentensi sipo pahala pake hapo.
Kwanza usiniite "Mkuu", uliona kuna neno "mkuu" katika ID yangu? Ni ujinga kumuita binaadam mwenzio "mkuu" kwa kuwa "mkuu" ni mmoja tu, aliyeumba mbingu na ardhi. Full stop.
Halafu, povu lote linakutoka kwa kuwa nimekufundisha ulipokosea?
Fahamu kuwa Kingereza chako kibovu, ni heri uandike Kiswahili tu. Mazoezi ya Kingereza kafanye na walimu wako shuleni kwako uliposomea ujinga.
Yote niliyokuwekea rangi ni makosa.
Usiwe punguani, jivunie lugha yako ya Taifa, Kingereza hukijuwi.
Anza na hilo kwanza.