Usain Bolt haamini macho yake baada ya kushindwa

Usain Bolt haamini macho yake baada ya kushindwa

Kila lenye mwanzo halikosi mwisho,mbaya ni kumaliza vibaya kabisaaa,at least he s taking home the bronze medal
 
amesema atarudi tena kwenye ulingo amuone tena huyo aliemshinda jana kuwa hana lolote.mbona myweather amerudi ulingoni ,nyie vuteni subira
 
Tundu Lissu, Mbowe, Lipumba, Zitto, Lowassa... nani mwingine ambaye sijamtaja... Oh kumbe kuna kina Pengo, Malasusa...

Wengine tena... Magonjwa Mtambuka, Asprin.... taja wote uwajuao hakuna atakayebaki mshindi. Wote tutalazwa chini ya tani saba ya udongo hata kama tuna mamlaka gani

Cha msingi tenda wema uende zako...
Ushawahi kutenda wema hadi ukakosa nguvu za kwenda zako [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahhhhaaa ila nchi yetu bhana yaani bolt kupitwa imekuwa news yaani watu wanamuona era yake imeisha kisa kupitwa ??? Hivi pambano moja linaweza determine mtu kaisha wakati hata huyo gatlin huko nyuma alishapitwa sana na bolt tu!!!! Bolt kapitwa but kwa sasa bado hakuna kama yeye huyo gatlin ni upepo tu i bet kma wakirudia kesho angemshinda tena
 
= Athlete

Kingereza chako kibovu kinahitaji ukarabati.

Mkuu, i have seen many of your posts here on JF, i doubt your are Tanzanian citizen. Your allegiance, your inclination, your support is always with Arabs people, terrorists and people who support extremely version of religion.

Sometimes you pretend to be good but that is your cover. Why are you here? i know the answer:- to ferment and increase terrorism and division in the country, hopeful the security services will be smart enough and take care of you. Eti unasema waarabu walikuwa Africa before Africans. What a silly person, silly statement. Acha kupotosha vijana kutumia ujinga wako.
 
Mkuu, i have seen many of your posts here on JF, i doubt your are Tanzanian citizen. Your allegiance, your inclination, your support is always with Arabs people, terrorists and people who support extremely version of Islam.

Sometimes you pretend to be good but that is your cover. Why are you here? i know the answer:- to ferment and increase terrorism and division in the country, hopeful the security services will be smart enough and take care of you and people like you.

Kwanza usiniite "Mkuu", uliona kuna neno "mkuu" katika ID yangu? Ni ujinga kumuita binaadam mwenzio "mkuu" kwa kuwa "mkuu" ni mmoja tu, aliyeumba mbingu na ardhi. Full stop.

Halafu, povu lote linakutoka kwa kuwa nimekufundisha ulipokosea?

Fahamu kuwa Kingereza chako kibovu, ni heri uandike Kiswahili tu. Mazoezi ya Kingereza kafanye na walimu wako shuleni kwako uliposomea ujinga.

Yote niliyokuwekea rangi ni makosa.

Usiwe punguani, jivunie lugha yako ya Taifa, Kingereza hukijuwi.

Anza na hilo kwanza.
 
Kwanza usiniite "Mkuu", uliona kuna neno "mkuu" katika ID yangu? Ni ujinga kumuita binaadam mwenzio "mkuu" kwa kuwa "mkuu" ni mmoja tu, aliyeumba mbingu na ardhi. Full stop.

Halafu, povu lote linakutoka kwa kuwa nimekufundisha ulipokosea?

Fahamu kuwa Kingereza chako kibovu, ni heri uandike Kiswahili tu. Mazoezi ya Kingereza kafanye na walimu wako shuleni kwako uliposomea ujinga.

Yote niliyokuwekea rangi ni makosa.

Usiwe punguani, jivunie lugha yako ya Taifa, Kingereza hukijuwi.

Anza na hilo kwanza.
Muda wote we shali tu, itakua huna mume wewe



"mwanaume mashine"
 
Muda wote we shali tu, itakua huna mume wewe



"mwanaume mashine"

= shari

Mkifundishwa ni shari? Nadhani hata shule walimu wakikufundisha wewe unaona ni shari tu!

Mume nnae, wewe una mume?

Punguani wahed.
 
I just took your teachers shoes and filled them. Can't you see?

Hiyo sentensi sipo pahala pake hapo.
Kwanza usiniite "Mkuu", uliona kuna neno "mkuu" katika ID yangu? Ni ujinga kumuita binaadam mwenzio "mkuu" kwa kuwa "mkuu" ni mmoja tu, aliyeumba mbingu na ardhi. Full stop.

Halafu, povu lote linakutoka kwa kuwa nimekufundisha ulipokosea?

Fahamu kuwa Kingereza chako kibovu, ni heri uandike Kiswahili tu. Mazoezi ya Kingereza kafanye na walimu wako shuleni kwako uliposomea ujinga.

Yote niliyokuwekea rangi ni makosa.

Usiwe punguani, jivunie lugha yako ya Taifa, Kingereza hukijuwi.

Anza na hilo kwanza.

You don't deserved to called mkuu anyway. You have a mind of the a 5 years old. By the way Mkuu doesn't mean God, God is God, Mkuu is Mkuu, Waziri Mkuu, Uchaguzi Mkuu, Mkutano Mkuu, Mwalimu Mkuu.Ni sawa na Mzee, Chief, Elder, Mheshimiwa. It is respectful terms to others.

In life and in any community you meet all sort of people. Stupid, Jealous, Bitter, Childish, Extremist and those who seek attention. You are one of them.

Few things

1. Kiswahili doesn't have enough word to convey a proper meaning of certain things, that is why English is used in Higher Education and also in government important business. By the way i love my Language (Swahili). I will never disrespect anybody because they have got few words wrong in Swahili or English. I will try to help if i can, if not i will just move on.

2. I don't give a damn about your opinion to me you are silly, extremist and stupid person. You are very old woman but you have mind of 5 years girl. I will advice you to grow up, get a life, find a job, a hobby, get out more, find something / somebody to fulfill your childish need for attention. You have posted over 57,000 posts most which are full of shit.

3. It is only stupid people who instead of contributing to a Topic, they go for small silly things. The topic was about Bolt, you have nothing to say about the topic instead you try to turn attention to yourself because your are attention seeker.

4. You can start a thread about languages:- Swahili or English in Jukwaa la Lugha. Where you can teach people English and Swahili. When adults discussed a certain topic let them get on with it. Let them have fun, share knowledge and help each other, if you have nothing to contribute to the topic discussed stay away. Because you are the best even students from Oxford, Cambridge and Harvard will come to your school and you make billions in your madrasa.

5. You will never be able to be a decent teacher to anybody, because you lack decency,patiency, intelligence or respect required to be a good teacher. By the way i don't care if i make couple of mistakes in English or Swahili. To me this is not about competing with others. By the way even British Government do make mistakes sometimes. It just part and parcel of being human.

For me it is about helping others, have fun, ask questions and respecting everybody regardless of their circumstances in their lives or their language skills. First you need to learn about manners, respect and decency before you try to help anybody in anything at all.

You should try to help yourself first to become decent human being.
 
Back
Top Bottom