Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hapa naona dalili za ubaguzi wa rangi, Usain Bolt anasakamwa kwa sababu ni mweusi lakini watu kama huyo Phelps na Spitz hawajawahi kushutumiwa.
Mi kwakweli hata kama anatumia madawa... Naona anayatendea haki kabisaaaa...Hivi kuna mtu yeyote anaefuatilia Olimpic games na kumuona huyu Usain Bolt anachokifanya?
hivi inawezekana binadaamu wa kawaida akafanya hivi?
yaani mtu akimbie hadi kuamua kukimbia huku anawatazama wenzie tu wasimzidi
nikama vile yuko mazoezini na watoto wa chekechea...
is this normal?
binafsi nakataa kuamini
hasa baada ya kusoma historia ya Carl Lewis....
ambae nae alikuwa anavunja rekodi za kila aina
kumbe alikuwa anatumia drugs na hakuwahi kukamatwa hadi ana staafu
kuna kipindi alishinda shindano la mbio huku aliowashinda wengine saba wote walikuwa wanatumia
madawa.....aliekuja kukamatwa alikuwa Ben Johnson wa Canada....
Karl Leewis alikuwa wa pili huku wengine saba wote ni drugs tupu....
Binafsi naamini Usain Bolt hana tofauti na Lance Armstrong ...
only time will tell.......
he is innocent till proven otherwise....Endelea kuamini ni msafi mpaka idhibitishwe sivyo,,,,,..
Binafsi naamini Usain Bolt hana tofauti na Lance Armstrong ...
only time will tell.......
Usain Bolt just happens to be a freak of natureHivi kuna mtu yeyote anaefuatilia Olimpic games na kumuona huyu Usain Bolt anachokifanya?
hivi inawezekana binadaamu wa kawaida akafanya hivi?
yaani mtu akimbie hadi kuamua kukimbia huku anawatazama wenzie tu wasimzidi
nikama vile yuko mazoezini na watoto wa chekechea...
is this normal?
binafsi nakataa kuamini
hasa baada ya kusoma historia ya Carl Lewis....
ambae nae alikuwa anavunja rekodi za kila aina
kumbe alikuwa anatumia drugs na hakuwahi kukamatwa hadi ana staafu
kuna kipindi alishinda shindano la mbio huku aliowashinda wengine saba wote walikuwa wanatumia
madawa.....aliekuja kukamatwa alikuwa Ben Johnson wa Canada....
Karl Leewis alikuwa wa pili huku wengine saba wote ni drugs tupu....
Binafsi naamini Usain Bolt hana tofauti na Lance Armstrong ...
only time will tell.......
nadhani ulimaanisha Marion Jones,huyu mwanamama ndiye aliyenifanya nipende Track and Field kwa upande wa kina dada..Uko sawa. Mario johnson mpaka baadae nae ndipo akajulikana ametumia dawa. Urusi serikali ilikuwa inawapa dawa wanariadha wao kwa siri...mambo yatakuja julikana
Huyu drugs zilimfanya awe na mwendokasi kwelikweliDuh! yule Ben Johnson waqt wake unaambiwa ile kasi yake akikukumba kama umegongwa na carina kilikuwa kipande cha mtu.
Mfano mashindano ya kuogelea, gymnastics, n.k, inafanywa vema na whites kwa sababu tu ya watu weusi kutokua na utashi nayo.
Duh! jamaa alikuwa na mbio yuleHuyu drugs zilimfanya awe na mwendokasi kwelikweli
The boss unapingana na wanakemia phd Olympics wanaowapima na kila baada ya gemu?tungekwisha sikia zamani usicheze na mzungu.
swissme