ruralofficer
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,494
- 3,630
Huyu jamaa mashindano ya kitaifa huwa sio mzuri kunajamaa mmoja anamkimbizaga vibaya.Ila ya kimataifa anamkimbiza hata yule anaemshindaga kwenye level ya kitaifa.hatari sanaCould be......
ila mimi bado simuamini....
Thanks a lot, kwa maelezo mazuri. Mi bolt namkubali sana na nampenda sana.Usain Bolt alipokua mtoto wazazi wake walipata wasiwasi wakampeleka akapimwe kwa daktari kwa sababu alikua active kuliko kawaida! Daktari akawaambia mtoto wenu ana energy kubwa sana mtafutieni vitu vya kufanya. Huyu mtu alizaliwa na hiki kipaji na pia anekifanyia kazi kukiendeleza zaidi.
Pita you tube angalia documentty iliyofanywa na Michael Johnson on Bolt ndio utaelewa kipaji hiki cha kuzaliwa. Akiwa 15 yrs kwa urefu wa 6'2 alikua anakimbia 200metres at 23 seconds! At 19 yrs alipovunja rekodi kule China alikua amerefuka zaidi akiwa 6 feet 5.
Pia kuna mwana kamati za Olympic anaehusika na mambo ya testing, alisema Usain is the most tested of all! Kwa sababu ya hizo doubt amejikuta anapimwa sana! Asingepona kama angekua mtumiaji.
We are witnessing greatness and pure talent from this young man. Lets appreciate and enjoy the moment cause we are witnessing something unbelievably extraordinary and magical.
Nilisoma ripoti ya tukio la Lance Armstrong, kulitokea tofauti kati yake na aliekua anamfanyia hio doping, ndipo akaamuz kuuza file kwa vyombo vya dola. Ndipo uchunguzi ukaanza na Armstrong kuvuliwa mataji yake yote.sijui nani alifichua siri yake.
Asante sana bi VeronicaAmadu, Wallah umenikumbusha mikasa ya Willy Gamba na Ahmed Sharrif katika "Njama" RIP A.E. MusibaUsain Bolt alipokua mtoto wazazi wake walipata wasiwasi wakampeleka akapimwe kwa daktari kwa sababu alikua active kuliko kawaida! Daktari akawaambia mtoto wenu ana energy kubwa sana mtafutieni vitu vya kufanya. Huyu mtu alizaliwa na hiki kipaji na pia anekifanyia kazi kukiendeleza zaidi.
Pita you tube angalia documentty iliyofanywa na Michael Johnson on Bolt ndio utaelewa kipaji hiki cha kuzaliwa. Akiwa 15 yrs kwa urefu wa 6'2 alikua anakimbia 200metres at 23 seconds! At 19 yrs alipovunja rekodi kule China alikua amerefuka zaidi akiwa 6 feet 5.
Pia kuna mwana kamati za Olympic anaehusika na mambo ya testing, alisema Usain is the most tested of all! Kwa sababu ya hizo doubt amejikuta anapimwa sana! Asingepona kama angekua mtumiaji.
We are witnessing greatness and pure talent from this young man. Lets appreciate and enjoy the moment cause we are witnessing something unbelievably extraordinary and magical.
ni team CR7 piaMi Bolt ananifurahisha kitu kimoja tu, ni shabiki la kutupwa la Mashetani Wekundu "Man U"
-na kwa sababu mashabiki wengi wa Man U ni Simba damu,bila shaka Bolt nae ni shabiki wa Simba unknowingly.
Wacha nihame kwa bwana nati (bolt )hili jina lako linanikumbusha mbali sana juu ya wewe bint wa jiji la freetown ndani ya Sierra Leone pamoja na sharrif ilikuwa shughuli pevu.Usain Bolt alipokua mtoto wazazi wake walipata wasiwasi wakampeleka akapimwe kwa daktari kwa sababu alikua active kuliko kawaida! Daktari akawaambia mtoto wenu ana energy kubwa sana mtafutieni vitu vya kufanya. Huyu mtu alizaliwa na hiki kipaji na pia anekifanyia kazi kukiendeleza zaidi.
Pita you tube angalia documentty iliyofanywa na Michael Johnson on Bolt ndio utaelewa kipaji hiki cha kuzaliwa. Akiwa 15 yrs kwa urefu wa 6'2 alikua anakimbia 200metres at 23 seconds! At 19 yrs alipovunja rekodi kule China alikua amerefuka zaidi akiwa 6 feet 5.
Pia kuna mwana kamati za Olympic anaehusika na mambo ya testing, alisema Usain is the most tested of all! Kwa sababu ya hizo doubt amejikuta anapimwa sana! Asingepona kama angekua mtumiaji.
We are witnessing greatness and pure talent from this young man. Lets appreciate and enjoy the moment cause we are witnessing something unbelievably extraordinary and magical.
Hata mie nampenda huyo jamaaThanks a lot, kwa maelezo mazuri. Mi bolt namkubali sana na nampenda sana.
Bolt lazima tu umpendee kwa anayoyafanya, labda kije kugundulika kingine ndiyo ntajuta kumpenda, by this time namkubali. I believe in his naturality.Hata mie nampenda huyo jamaa
Huwa nafurahia kumuona anavyowakimbiza wenzake
The boss unapingana na wanakemia phd Olympics wanaowapima na kila baada ya gemu?tungekwisha sikia zamani usicheze na mzungu.
swissme
Hivi kuna mtu yeyote anaefuatilia Olimpic games na kumuona huyu Usain Bolt anachokifanya?
hivi inawezekana binadaamu wa kawaida akafanya hivi?
yaani mtu akimbie hadi kuamua kukimbia huku anawatazama wenzie tu wasimzidi
nikama vile yuko mazoezini na watoto wa chekechea...
is this normal?
binafsi nakataa kuamini
hasa baada ya kusoma historia ya Carl Lewis....
ambae nae alikuwa anavunja rekodi za kila aina
kumbe alikuwa anatumia drugs na hakuwahi kukamatwa hadi ana staafu
kuna kipindi alishinda shindano la mbio huku aliowashinda wengine saba wote walikuwa wanatumia
madawa.....aliekuja kukamatwa alikuwa Ben Johnson wa Canada....
Karl Leewis alikuwa wa pili huku wengine saba wote ni drugs tupu....
Binafsi naamini Usain Bolt hana tofauti na Lance Armstrong ...
only time will tell.......
hayo mimi sijui hizo propaganda zako.The Boss anapingana na kila mtu na kila kitu
Nilisoma ripoti ya tukio la Lance Armstrong, kulitokea tofauti kati yake na aliekua anamfanyia hio doping, ndipo akaamuz kuuza file kwa vyombo vya dola. Ndipo uchunguzi ukaanza na Armstrong kuvuliwa mataji yake yote.
Kuna watu wengine nahisi wana damu ya kutogunduliwa mapema au kuna mbinu fulani wanaitumia dhidi ya sayansi na taratibu zote kwa lengo la kuvuka vikwazo vyote....Kama anatumia madawa basi anastahili medali zingine 10 za dhahabu kwa kuweza kuwashinda wanasayansi vichwa wanaotumiwa na vyombo mbalimbali kuwapima wanamichezo wa mashindano ya Olimpiki!
Mtu tokea 2008 hajakamatwa hata mara moja?
Huyo lazima awe 'genius' flani!
Hususan ukizingatia maendeleo ya sayansi na teknolojia yaliyopo hivi sasa!
Si kwenye World championships si kwenye Olimpiki...yaani jamaa kwa miaka 8 hajakamatwa hata siku moja?