ayubu ebenezer
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 350
- 208
bolt ni kipaji tu, mbona hata David rudisha jana kushinda tena hamsemi a natumia madawa? Messi na ronaldo nao wanatumia madawa? Manake wanapokezana wao tu uchezaji bora wa Dunia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndie aliekuwa kinara wa kudanganya. alitumia madawa ya kuongeza nguvunadhani ulimaanisha Marion Jones,huyu mwanamama ndiye aliyenifanya nipende Track and Field kwa upande wa kina dada..
Dharau hizi,mtu anashindana mbio huku anatabasamu na kugeuka nyuma wakati wenzie wamekunja nyuso na kutweta.huyu dawa yake unamchokoza mnapigana tu kabla hata mbio hazijaanza alufu wote mnakuwa disqualified
Thubutuu,hata paka wa nyumbani anamzidiNI MNYAMA ANAYEKIMBIA KULIKO WOTE DUNIANI
Kamati ya olympic imelegeza kamba kwa sasa,sheria mpya inataka tu usiwe umevuta siku chache kabla ya mashindano.Alafu mbona michael phelps na Bolt ni waumini wazuri tu wa kijiti na ndio the best and most decorated olympians of our times.Hivi hata "mmea" a.k.a ganja hairuhusiwi kwa hawa wana Olympic ?
Ilinisikitisha sana,nilikuwa namkubali mno..ndie aliekuwa kinara wa kudanganya. alitumia madawa ya kuongeza nguvu
Slavery still looming
Ilinisikitisha sana,nilikuwa namkubali mno..
Hiyo screening wanayopitia si ya kitoto, kama anatumia madawa itakuwa ni mbinu ya hali ya juu.
Hivi na sisi tunaye sprinter Olympic rio!!?Could be......
ila mimi bado simuamini....
Inawezekana lakini haielezeki. Si mnakumbuka kesi ya Marion Jones? wengine hugundulika au hukiri baadaye, ilhali walipopimwa vipimo hvikuonyesha dawa zozote. Nevertheless, sina comment kuhusu Bolt kutumia dawa au la.The boss unapingana na wanakemia phd Olympics wanaowapima na kila baada ya gemu?tungekwisha sikia zamani usicheze na mzungu.
swissme
Hivi kuna mtu yeyote anaefuatilia Olimpic games na kumuona huyu Usain Bolt anachokifanya?
hivi inawezekana binadaamu wa kawaida akafanya hivi?
yaani mtu akimbie hadi kuamua kukimbia huku anawatazama wenzie tu wasimzidi
nikama vile yuko mazoezini na watoto wa chekechea...
is this normal?
binafsi nakataa kuamini
hasa baada ya kusoma historia ya Carl Lewis....
ambae nae alikuwa anavunja rekodi za kila aina
kumbe alikuwa anatumia drugs na hakuwahi kukamatwa hadi ana staafu
kuna kipindi alishinda shindano la mbio huku aliowashinda wengine saba wote walikuwa wanatumiaL
madawa.....aliekuja kukamatwa alikuwa Ben Johnson wa Canada....
Karl Leewis alikuwa wa pili huku wengine saba wote ni drugs tupu....
Binafsi naamini Usain Bolt hana tofauti na Lance Armstrong ...
only time will tell.......